January Makamba threatens Lisa Rockeffeller | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba threatens Lisa Rockeffeller

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Oct 31, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  KWA WALIYO MARAFIKI ZA HUYU SHUJAA WETU, BASI HII NDIO STATUS YAKE SASA HIVI

  [​IMG]
  Lisa M Rockefeller The So Called Ernesto Sheka's real name is January Makamba, is the one apparently threatening me. Let's see if he will ever set his feet in the American soil, this is nothing but an act of terrorism, I agree now, Kikwete is a Joke to hire people like these
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  The problem is, these guys(Kikwete, Mwinyi, Mkapa and Sons) think they will live forever in this world.

  Mtakufa tu Makokoto nyie
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Komaa Lisaa wamezidi kutupiga bit uku Tz kisa wazazi wao wameshika madaraka
   
 4. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto wa kozungu naye kuna mambo mengi naona kama anachemsha. Anataka tuamini kwamba kwa sababu tu yeye ni mkoloni mweupe basi anaweza kufanya maamuzi ya kiserikali hihg level. Januwari naye aache akili za kisultani fisadi
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Yote aliyosema kuhusu Kikwete ni kweli.

  Sema tu ukweli unauma.
   
 6. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu, sikusema kwamba aliyoyasema kuhusu jk si kweli. Nazungumzia vitisho anavyovitoa ambavyo kwa kawaida viko kwenye level ya serikali na serikali
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mafisadi wana njia nyingi sana za vitisho!

  Ona MKAPA jana alivyotisha na kutukana watu, eti wapinzani ni KOKOTO!...how rude!
  Hakuna upendo wowote kwa Taifa pale, nia kuu ni "wapumbaze kisha uwanyonye"..na wajinga ndio waliwao!

  Mafisadi wanamwona Lisa Rockeffeller kama Mwiba kwao, maana anawapa kitu na box!...Yupo fisadi-mtoto kule kwenye thread kuu analalama kweli kutetea matapishi ya sera ya baba zake...huh!

  Tushawagundua, na tunawafuta kazi soon, hata uwe January au August, u r gone!
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  PJ una hasira hebu punguza kabla server haijagoma
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kaumbuka!!! hata mimi niliwaza hivyo hivyo kwani akina makamba ni wale wale akina She....NA nadhani hili jina ni SHEKAONEKA, AMBAO NI WASAMBAA WA TANGA LUSHOTO
   
 10. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kumbe yule aliokuwa anajaribu kutetea upumbavu alikuwa january makamba?
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  watanzania inabidi tumpe support huyu dada kwenye page yake.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  I hope its not true!!
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Huitaji kuwa level ya serikali kufungua malalamiko zidi ya vitisho ulivyopewa kutoka kwa mtu yoyote.
   
 14. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Huyu January Makamba a.k.a mbegu bora ya makamba hana aibu? Ufisadi wake na Clouds FM (Ruge Mutahaba) wa kugawana zabuni haujatulia tayari ameingilia mambo mengine? Kweli sikio la kufa halisikii dawa, na mtoto wa makamba ni makamba tu. Dogo tuliza boli, ufisadi unaoendekeza utakufikish pabaya
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Lisa is my Herooo
   
 16. Makanda

  Makanda Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bravo Lisa! watu wakipewa ukweli wanakuwa Nyugwi! natumaini baadhi ya mafisadi wameshugulikiwa Leo tutaona muda si mrefu
   
 17. M

  Munghiki Senior Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lisa ure Tanzanian hero!we cjui january or december tumia akili kwani unalipwa kiasi gni kutete ufisadi au ndio umehaidiwa uwaziri kma dull bbako alivyojicfia te te te te teh
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  she is my hero
   
 19. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  A male is a hero, a lady .. a heroine.
  Kunyoosha tu mambo
   
 20. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I mean, this is ridiculous!! Apparently, Kikwete's henchmen are not so thrilled with what Lisa had to say yesterday kuhusu umbumbumbu wa Kikwete... And so, January Makamba thought he kinda needed to elevate it into the next level by sending binti wa watu private message na kumtukana...

  Here's what she posted on her Facebook page about an hour ago:

  Lisa M Rockefeller The So Called Ernesto Sheka's real name is January Makamba, is the one apparently threatening me. Let's see if he will ever set his feet in the American soil, this is nothing but an act of terrorism, I agree now, Kikwete is a Joke to hire people like these

  To read the whole thing, just follow the link below: http://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=125141454211024&id=100001740516955&ref=notif&notif_t=feed_comment_reply#!/profile.php?id=1000017405169
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...