January Makamba naamini amepata cha kujifunza

January Makamba naamini amepata cha kujifunza

Unaamini katika hayo tu au umeangalia na upande wa pili kwamba kuna uwezekano ulikua mchezo wa kuigizwa ili Mtanzania wa kawaida uweze kufikia kwenye conclusion uliyofikia?
 
makamba amepigwa za uso hana hamu, Lukuvi pia kala za uso na juzi kati alifukuzwa na magufuli pale ikulu alipoenda kumtambulisha yule muhindi mwizi mfadhili wa ccm

hahahaha wamekula za uso tena mapema sana
 
every politian lazima awe na ambition simlaumu kwa hilo
 
kishaandaliwa uwaziri wa mambo ya nje na miaka kumi ijayo ndo atakuja kuwa mgombea wa uraisi!!! kila kitu kwenye siasa kimeshapangwa kabla....
 
makamba amepigwa za uso hana hamu, lukuvi pia kala za uso na juzi kati alifukuzwa na magufuli pale ikulu alipoenda kumtambulisha yule muhindi mwizi mfadhili wa ccm

hebu tupe za kutosha kuhusu luku na huyo mhindi.
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu
 
Binadamu ndivyo tulivyo, mtu akifanya kazi yake eti kajipendekeza, January ana malengo yake na wala siyo uwaziri mkuu,,, acha kuanzisha mada za kiumbea na zisizo na msingi kwa nchi yetu


Tuliza kijambio hiko.
 
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.

Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.

Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.

Vp lissu na mbowe wameacha kimbelembele kwa lowasaa au?
 
Back
Top Bottom