January Makamba: Mbunge wa aina yake

Status
Not open for further replies.
Mhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nani kamsukuma Waziri Ngeleja nje ya mistari stahiki, achilia mbali matatizo anayokumbana yano kwenye wizara hiyo, na kwa nini sasa na si miezi kadhaa ha po nyuma? Naona hapo kwenye red majibu anayo huyu ambaye yuko bize kukibiza
ONE MILLION DOLLAR EMAIL kila inapotundikwa hapo ukutani.

Cha msingi hawa ZK na JM waihurumie taifa badala ya hizo tamaa na ndoto za urais na uwaziri mkuu unaowakimbiza hovyo kiasi hicho. Ila wakibisha juu ya madai hayo ya juu juu hapo ubaoni kuhusu masuala GESI YETU NA MIRADI YAKE KIBAO basi wategemee uvundo woooote nje.

Narudia, wahurumie taifa kwani maumivu ya DOWANS wanayoitetea yanatoshaaaaaa!!!!!!!!!!!


Mkuu UT mara nyingi posti zako hazina tabia ya kuzunguka mbuyu lakini kwa nini unafanya hivyo leo, tuweke wazi kuhusu unalolijua juu ya wanasiasa hao wawili ZK na JM wananini nyuma ya pazia na Tanzania tunayoita???????
 
I am left speechless. Hivi ndivyo tunavyouza nchi!
 
mkuu mimi nijuavyo hata mnyika ni watchdog tu. Na kama sikosei kwa uelewa wangu na wa wengi kamati ya madini inanguvu kuliko huyo waziri kivuli. Ila naungana na wewe kuwa hiyo kamati ilitakiwa iwe watchdog ila kwa jinsi serikali ilivyo likizo bora hata hiyo kamati ifanye hiyo kazi tu mara 100
 

january may be inteligent, and above average, but he is crafty in a wrong way. He has a lot of illegal and shaddy dealings behind him. He sees the loophole in the system. And he uses i, who claims that he is a hundred percent bad? What is needed is to make sure we use his good side and leave somebody else to suffer his dark side. Problem is how to do it. Is makamba inteligent like masha?
 

Hili Jungu babu. I mean the way that email is written is ridiculous. Everybody can fake that shit. And who asks for rushwa through email.

It is fascinating how The Makambas completely drive folks crazy. Kwanza kulikuwa na jungu la Barick Gold kwamba January kahongwa $ 5 million regarding Tarime, leo hii. Kesho some other bull shit. Halafu in what I call the tragedy of Tanzanians, wajinga hata hamchambui. Mnameza tu. Ndio maana mnafeli mitihani.

Anyways, nyie endeleeni kuwa obsessed na watoto wa Mzee Makamba tu. Mti wene matunda ndio unaopopolewa bhana. Ushawahi kuona wapi watu wanatupia mawe mchongoma. Hee hee

Truth is wapika majungu feel threatened by January au Mwamvita. Sasa sijui kwa nini? Mwambieni Ngeleja na wadau zake wa Rex Attorney kwamba they should be careful picking their battles. Folks are keeping tabs. This is silly, and maybe expected from the most incompetent minister ever.
 
Basi kama hilo ni jungu hata hilo unaloelezea hapa ni Jungu.Subiri yapo mengi yatajulikana soon kuhusu hii familia mnayoiona kuwa wao walizaliwa kuwepo kwenye sector zote nyeti (Serikalini na Taasisi binafsi)
 
Basi kama hilo ni jungu hata hilo unaloelezea hapa ni Jungu.Subiri yapo mengi yatajulikana soon kuhusu hii familia mnayoiona kuwa wao walizaliwa kuwepo kwenye sector zote nyeti (Serikalini na Taasisi binafsi)

Mwakalinga, mlaumu baba yako Mzee Mwakalinga kwa 1)Kuwa mzembe alipokuwa shuleni which led to 2) Kwa kukupa wewe elimu chovu kiasi cha kuja online na kuamini email ambazo hata mtoto mdogo anajua ziko feki 3)Kukupa wewe inferior genes kiasi cha kwamba hata hiyo elimu yako haikupigi tafu kufikiria kimaendeleo zaidi

Ukiwalaumu watoto wa watu unakuwa huwatendei haki.
 
Hata wakati Richmond inaingia mikataba ya kilaghai badae Dowans sasa Symbion waliyoingiza nchi kwenye udhalimu na ufedhuli huo ni wenye sifa zifuatazo;
1.Hawakuwa wazembe kama mzee mwakalinga na wakawa wanauwezo na jina kama kama mzee makamba.
2.Wamepata shule ya kutosha tena wakapelekwa Ulaya kwa fedha za walipakodi na mimi kwa ujinga wangu na elimu ya kichovu siwezi hoji kutokana na kuwa mtoto(nimezoea kuamini email fake)
3.Wanaweza kutumia $1m kwa kampeni (kuwalisha watu pilau,kuwanunulia t-shirt za njano na kofia za kijani kuwaletea wasanii wa ze commedy) ili hali jimboni mwao hakuna mradi unaogharimu fedha hizo ,na wao ni supirior coz wanaishi maisha ya peponi ili hali wanaowaongoza wanakosa huduma bora za elimu/afya ..wao wanaenda kusoma /kutibiwa ulaya.
Kweli hawa wanamaendeleo na mimi sina maendeleo Ukilinganisha na wao kama ulivyoainisha,hata wewe unamaendeleo kwa kuishi kwenye nchi yenye mafanikio na mendeleo kutokana na viongozi wenye elimu na uwezo bila kusahau majina kama mzee Makamba.

Mungu ibariki Tanzania
 
We cjui amekulipa kiasi gani kuandika huu Utumbo!!iv kuna kitu gani ambacho amefanya Makamba J kikaleta positive impact yoyote kwa Taifa na kwa Wanabumbuli?wewe mwenyewe unajikanganya kulaunch website inayohusu Jimbo lako huku wananchi huko Jimboni kwake hata Mitandao ya cm tu haikamati kuna faida yoyote kwa Wananchi kama sio kujikweza tu kwa jamii...Tumeshuhudia baada ya yeye kuupata uwenyekiti wa Kamati ya Nisiati na madini jinsi alivyoipigania Symbion kuuziwa mitambo ya Dowans akitudanganya ndo muarubaini wa mgao huku mgao ukiwa palepale na sasa ivi mitambo ya Dowans inatugharimu tuilipe mabilioni huku mafisadi wakiwa washachukua chao(kuna tofauti gani kati ya mkataba wa Dowans na ule wa Symbion)kama sio wizi na ufisadi tu .Tarime huko Nyamongo Wananchi wanauawa kila siku umesikia kauli gani toka kwake.
 
Aeleze pia alivyojinyea alipokuwa secondary school (O-Level)
 

Mwakalinga unachanganya mambo. Hayo mambo ya Richmond sijui nini--hayajustify wewe kutuletea a copy of email which you know is fake.

Sasa kutuletea fake email ambayo imetengenezwa kwa nia ya kuwachafulia utu watoto wa watu sio ishu. Hizo ni chuki tu bhana. Usichanganye stori apa. Umeleta majungu jamvini, na tunakwambia hapana.
 
SELEMANI,

Hebu kwanza kajipe japo kamuda ili uweze kumeza japo ka-fundo late. Siku zote mtu ukiwa na hoja nzuri utakuta kwamba wala hulazimiki kutumia maneno mengi sana wala nguvu kiasi hicho kulitete. Pumzika kidogo kwanza, mwe!!!!!!

Mbona Jihadi hivyo kumtetea shujaa wako Januari Makamba???????

 

mkuu ahsante kwa habari.
 
Sio mbunge rekebisha sema gamba ccm hakuna mbunge kwani hakuna wabunge wanaopatikana kwa damu na rushwa.
 
Nadhani kutoka na uwelewa wangu mdogo na elimu ya kichovu niliyonayo kama ulivyoainisha ndio maana nachanganya mambo.Inawezekana zikawa ni chuki na majungu kama unavyosema coz hakuna mahali niliposema kuwa ni habari kamili/sahihi -heading imejieleza vyema na chanzo chake.Ila nimeshangazwa na wewe kunishambulia kana kwamba wewe una habari zote nzuri na mbaya za Familia ya Mzee Makamba ama January makamba.Kwa msomi kama wewe unaweza ukaifanyia kazi taarifa hiyo na ukaikanusha kisomi/kitafiti.Naami wewe ni msomi/mtafiti ndio maana ukapata ujasiri wa kunishambulia mimi na Mzee mwakalinga kutokana na umbumbu wangu na ulumbukeni wa mzee mwakalinga .

Ni vyema ukajifunza kujibu na kuchangia hoja nami naendelea kujifunza kutoka kwa waerevu na wasomi kama wewe.
Sio kila unachojua ni sahihi na usahihi wa jambo unaloambiwa kwa mara ya kwanza sio lazima likufurahishe ndio kigezo cha kuwa sahihi.

 

Badala ya kujibu hoja za ufisadi wanalia heti Riz1 ndo chanzo cha skandals zao. Wanapouza vitumbua ku-raise campaign funding, Riz1 alikuwepo? alafu Mange Kimambi na kimebelembele chake Aendele aone atakavyopotea . Kutukana watu hovyo kwa sababu tu Blog inafadhilia na Mwamvita na Vodacom. Selemani, Sliding roof. Mwezi wa Kwanza Marope, message delivered.... Pia zimfikie Mwa-war Marope pamoja na Mange Kimambi kimbelembele chake..
 

Like someone passed his exams. Without Ikulu na Mkap wengine wangekuwa wanakula vumbi.......Alafu nani kasema "Mtu hajawa plagiarist? Why was his exams scraped? Nyani kweli haoni Kundule. Jibu hoja na ufisadi unaowakabili wana Marope. Riz1 ni maji marefu msimlete kwenye ujinga wenu
 
wewe huwa unadata zao hebu mwaga hapa jamvini!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…