January Makamba: Mbunge wa aina yake

Status
Not open for further replies.
uzuri wa tovuti, namba ya bure ya kuwasiliana na updates za facebook na twitter hazina maana yoyote kama mtu hawezi kufurukuta japo kwa kauli mbele ya "wababe wa nchi"
mtu yeyote anayeibeba sisiemu na kuisifia hadharani hasa hasa kama mtu huyo kiongozi mi huwa natilia mashaka sana
 
I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.
I totally disagree!!
 
Dogo kifaa bana, inabidi tumkubali.
Tukumbuke hata baba yake alivyokuwa mkuu wa mkoa DSM alipendwa sana. Alivyoteuliwa tu kwa katibu mkuu wa CCM ndiyo chuki ikaanza.
Nilichoona hapa, hawa watu ni watendaji wazuri, tatizo watu wamewachukia kwasababu ya kuwepo kwao CCM
 
Nime furahishwa sana na style ya uongozi wa January Makamba, mbunge wa CCM akiwakilisha jimbo la Bumburi.

Niliwahi kuona akitoa namba zake (15013) kwa ajili ya wananchi kuwasiliana nae kwa jambo lolote haraka iwezekanavyo (huku ni kuonesha uwajibikaji).

Na hivi karibuni pia nimeona website yake, www.januarymakamba.com akiongelea mambo mengi, zaidi kuhusu yeye na Jimbo lake.

Well, ni ubunifu mkubwa sana ingawa ni wananchi wa chache sana wa jimbo lake wanaweza ku-access website hiyo na kuona mipango ya maendeleo na jinsi atakavoitekeleza...

Lakini dunia nzima (marafiki zake na wale wanao mfuatilia juu ya uongozi wake ambao hawapo Bumburi) watafurahishwa na jinsi anavyoonesha kufanya kazi na hata kuchangia shughuli za maendeleo huko.

Style yako naipenda, I hope una mengi unayowaza juu ya Tanzania. Fanya sasa tuyaone, umeanza vyema.

Clemmy,

Kufuatana na Avatar yako you look like a gal!
I perceive that you just only LOVE January Makamba and not otherwise. Yaani of all the people in this country leave alone CCM you have seen J.Makamba your HERO really??You must be joking.
Yaelekea wewe ni walewale wa Chama Cha Magamba-CCM.
 
Mleta mada kwa jinsi nilivyomwelewa mimi hana nia ya kumsifia Mbunge, ndo maana kaanza kwa kutoa namba 15***, na namba hizo gharama ya sms ni kubwa kuliko namba za kawaida, hivyo ili mwananchi awasiliane na mbunge lazima akatwe hela nyingi ambayo labda mbunge anapata commission. Na pointi ya pili ameweka plan zake kwenye mtandao ambao haufikiwi na asilimia kubwa ya watu anawawakilisha.
Acha upotoshaji mkuu. Hiyo namba (15013) kwa jinsi ninavyofahamu ni bure. Yeye ( January) ndiye anayelipa kwenye makampuni ya simu ili wapiga kura wake waweze kuwasiliana naye bila gharama. Ni vizuri kabla ya kuchangia kitu ufanye utafiti, tuache siasa za ushabiki. Lazima tukubali ukweli hata kama mtu mwenyewe hatumkubali. Pointi yako ya pili sio kweli kwani wananchi wale ambao hawawezi kutumia mitandao ya kijamii kama twitter, facebook au hata kutembelea web yake wanapata
nafasi ya kuwasiliana naye kwa njia ya sms kupitia simu zao za kiganjani.
 
Kwa ccm watamzima kama Amina chifupa endapo ataendelea kuongea ukwel,kama jana kwenye mdahalo alivyomsema Ngereja na Werema laivu
January Jr. ni jizi tu, hakuna mwanaccm msafi ambaye watanzania mnaweza kumfikiria kuja kutuongoza huko mbeleni, labda kama mnafkiria tutaendelea kuwa wajinga kama tulivyo sasa. Ukweli alioutoa unatokana na yeye kuwa na vested Interest na kiti cha Uwaziri cha ngereja, Ref Barua ya dada yake kwa mpenzi wake wa Barrick, January hata kama anaongea vizuri mbele ya watu, nyuma ya Pazia ni fisadi, hivyo amepoteza sifa ya kuaminiwa na watanzania, hasa wapinga ufisadi. Kimsingi anatakiwa aresign ili alinde hadhi yake kidogo iliyobakia, ila he is bogus pia.
 
Kwani January naye ni mbunge? alichaguliwa na nani kwa kura ngapi.

Mkuu umeongea jambo la maana sana. Kinachonishangaza mimi hata wakati wa chama kimoja tuliwakuwa tunampigia kura JK Nyerere ya HAPANA, au NDIYO. The same ikaja kwa Alhaj A H Mwinyi. Huwezi kuwa legimate kama uongozi wako hautokani na uchaguzi. Suala la kupita bila kupingwa ni ubakaji mkubwa sana wa Demokrasia, Ushahidi mkuu ni JIMBO LA NYAMAGANA: Yule jamaa aliyejifanya kapita bila kupingwa, hata kama Wenje asingeruhusiwa kugombea na NEC Taifa, basi kura za HAPANA zingemtoa katika ubunge. Katiba Mpya iliangalie hili.
 
Deliver message kwa January kwamba, wasiwe kwenye denial. Wangejitizama kwenye Taswira na kama kuna doha usoni, waliondoe badala ya kusema hakuna doa wakati wanaliona. January aspoangalia, Mwamvita anamwangusha na kumuaibisha vibaya sana. Viongozi wengi wa juu wanamsema sana vibaya huyu dada kutoknana na tabi ya kulala hovyo ili apate anachotaka.

Hata kama barua iliyotumwa mtaiita feki, lakini ukweli ni kwamba, Mwamvita anayo hiyo tabia. Wewe mtu anazunguka na Mange, Kiki, Bijoux unategemea nini? January you know this. Hata kama unajiona mtu safi, tabia ya dadako kukuletea vitumbua ni mbaya. Unajua amenijaribu ili unilale?

Unajua tatizo la mfumo dume kama wetu ni mbaya sana. Mwanamke akifanya kazi na kupanda chati watu wanasema lazima atakuwa anavua chupi. Na tatizo la mabaki ya ujamaa kwa WaTanzania ni kwamba mtu akiwa na strong work ethic, wabongo wanamuita kimbelembele. Sasa wewe unasema Mwamvita ana kimbelembele kila event ya Vodacom yeye yupo--but to us she is aggressive and works hard. In return she is sitting on Vodafone board in London, wakati wewe unapika majungu Jamii Forum. Its all in your perspectives. Ndio maaana Wakenya and non Tanzanians are taking all executive positions in Bongo, kwa sababu ya kasumba ya WaTanzania kuchonga mnoo, ukiona wenzako wanafanikiwa. Wewe Mwamvita piga mzigo, wenye macho na ubongo tunaona.

Well, u said January ana majungu na unadai alimpa barua Mama Shelukindo kuhusu Utumbo wa Jairo na Ngeleja. What u call majungu sisi wengine tunaita kupiga vita rushwa. Kama unavyodai January alimpa data Dr. Slaa kuhusu Riziwani--wewe unaona hayo majungu, sisi wabongo wa mtaani tunaona kijana ana uchungu na nchi. So, Uhuru1 mama, its all in your perspectives. You seem to have a personal hatred against Makamba, which is okay. Endelea kuweka hizo fake email online, au allegations zisizokuwa na ushahidi. Wenzako wanaendelea ku-achieve tangible results.
 
Dogo kifaa bana, inabidi tumkubali.
Tukumbuke hata baba yake alivyokuwa mkuu wa mkoa DSM alipendwa sana. Alivyoteuliwa tu kwa katibu mkuu wa CCM ndiyo chuki ikaanza.
Nilichoona hapa, hawa watu ni watendaji wazuri, tatizo watu wamewachukia kwasababu ya kuwepo kwao CCM

Ishu sio kuwepo CCM bali ni wizi wa rasilimali zetu. Hata ukiwa CDM kama unatuibia tutakumind.

Kitu cha kukumbuka ni kwamba mwanasiasa yeyote wa CCM anavimelea vya ufisadi, au ameneemeka kwa ufisadi kufikia hapo alipo ndo mana chama hicho kinamvutia. Hivyo ukiona mwanaCCM kapanda jukwaani kuomba kura, jua kunarasilimali ya taifa ameshaidentify kuihujumu mara aingiapo madarakani. January hata apambwe vipi hawezi kuwa mtu mwema kwa watanzania kwa kuwa ameingia madarakani kwa Rushwa na inamana akipewa nafasi zaidi, atakuwa Rostam/Lowassa mwingine Ref barua ya dada yake kwa Kigogo wa Barrick. Kuhusu Povu analolitoa juu ya Ngereja ni chuki ambazo zimetokana na yeye kutopewa hicho cheo mana alishajua hicho ni halali yake as stated na Dada yake kupitia email yake kwa Kigogo wa Barrick. Wananchi fungukeni, hakuna msafi CCM Lowassa alishatueleza lakin cjui ni kwa nini hatukumwelewa.
 
Acha upotoshaji mkuu. Hiyo namba (15013) kwa jinsi ninavyofahamu ni bure. Yeye ( January) ndiye anayelipa kwenye makampuni ya simu ili wapiga kura wake waweze kuwasiliana naye bila gharama. Ni vizuri kabla ya kuchangia kitu ufanye utafiti, tuache siasa za ushabiki. Lazima tukubali ukweli hata kama mtu mwenyewe hatumkubali. Pointi yako ya pili sio kweli kwani wananchi wale ambao hawawezi kutumia mitandao ya kijamii kama twitter, facebook au hata kutembelea web yake wanapata
nafasi ya kuwasiliana naye kwa njia ya sms kupitia simu zao za kiganjani.
Mkuu mimi lengo langu sio kupotosha lakini nilikuwa najaribu kueleza kutokana na experience nilliyonayo juu ya hizo namba zinazoanza na 15***, lakini kama anailipia yeye basi ni vizuri kwake na wapiga kura wake pia, pointi ya pili ni ukweli usiopingika hiyo hata kwa majimbo ya mjini kabisa kama ilala na kinondoni bado watumiaji wa internet ni wachache sana ndo ije iwe huko jimboni kwake.
 
I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.

Mkuu, mbona umempamba sana huyo Mhe. What has he delivered so far in such a short period since he became member of the parliament. And what are your criteria for choosing a candidate for presidency? I'm sorry, but I'm scared with such impetuous conclusions. They may have a hidden agenda behind. Forgive me if I'm wrong.
 
coke_popcorn.jpg

MOVIE

Title
: Rz1 Vs Makambas
Directors: _ _ _ _ _ _ _ _
Starrings: Selemani & Uhuru1
Runtime: 2010 - 2015
Studio: JF
Genres: Comedy,Fantasy, Family
Rating: PG
Ticket Price: Free
 
I equally put my hat off to the perceptiveness of this quick-witted guy. The charismatic MP has won widespread approval from across the country within such a short time he's been in the parliament. He is patently one of very few remaining rainmakers of Tanzania and I won't hesitate to vote on his favour anytime he decides to contest for presidency.

Mwita25, I know you're doing PR and ARSE-KISSING for this man, who you call "quick-witted" and "charismatic". I have had some personal dealings with him and I can tell you one thing. He is NOT CREDIBLE, he has NO INTEGRITY, and will soon SHOOT YOU IN THE BACK than have you mess up whatever is in his way. I dealt with him on an official level, in the interest of our Nation. Even then, he didnt have the integrity to complete his own mission, back then when he was at Ikulu.

If you're gonna do PR for him, at least do it right, dont be TOO OBVIOUS, giving him he credit that is UNDUE! What's funny, that you write is that "he is one of very few remaining rainmakers of Tanzania" who you wont hesitate to support anytime he decides to contest the presidency! January Makamba is no presidential material, NO WAY! And, being a "rainmaker"? I can imagine, candidly, him all dressed up in the Wasambaa traditional garments, doing the RAIN DANCE, as he is the "rainmaker", isnt he?

Hahahahaahah!
 
Huyu kijana ambaye hivi sasa anaenda kwa kasi ya ajabu mno KWA KUTUMIA UDHAIFU ULIOMO NDANI YA CHAMA CHAKE HIVI SASA KUGUBIKWA NA MIGOGORO KIBAO, asipodhibitiwa kwa pamoja na wabunge wengine vijana akiwemo Zitto Kabwe, machungu zaidi ya mara mia inatusubiri.

Nasema machungu zaidi ya mara mia ya kule Dowans itakua inatusubiri kule kwenye miradi kadhaa za gesi na madini nchini
ENDAPO WADAU WOTE MUHIMU KATIKA SEKTA HII hawatopendezewa kuhakiki kila nukta ya yale yanayoendelea hivi sasa nyuma ya pazia.

Hivi bado tu harufu ya petroli haijawaingieni puani kwa nini Zitto anapigania kufa na kupona kumng'oa Waziri wa fedha Mhe Mustafa Mkulo na huku January Makamba yeye akiwa ni tayari, keshajinyakulia kabisa nje ya utaratibu, Wizara ya William Ngeleja mpaka kufikia mahala waziri mwenye na katibu mkuu wake kujichagulia kujiweka kando kukwepa kufedheheswa.

Wenyeviti kamati za Bunge tumekua nao miaka mingi lakini si kwa pupa hizi, si kwa kutafuta kuunganisha shughuli za kamati pamoja na zile za uwaziri zote kwa pamoja.

Be warned everybody!!!!!!!!!
 
Huyu mleta mada mimi sijamuelewa sehemu moja:

Anaposema watendaji wa wizara ni Ngeleja na John Mnyika!! J. Mnyika tangu lini ameingia kwenye serikali. Nijuavyo mimi yeye ni msemaji wa upinzani kwenye wizara hiyo. Au kwa lugha ya kibunge ni "Waziri kivuli wa Nishati na Madini". Siyo mtendaji wa wizara, hivyo hahusiki kwa sababu hayumo serikalini. Labda mleta mada alimaanisha Adam Malima - Naibu waziri.

Naomba ufafanuzi.
 
ARE JANUARI MAKAMBA AND ZITTO KABWE LOST IN ACTION IN A LONE-RANGER WAR FOR PERSONAL FORTUNES OR MERE COINCIDENCE OF CIRCUMSTANCES TO FILL-IN A LEADERSHIP VACCUM?

Hapana Sugu, Zitto Kabwe hatukuwahi kumuondoa kwenye Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA isipokua ni kutokana tu na zile harakati zake binafsi za kutafuta penye chumo za ki-fedha kwa kutumia mwanya wa UDHAIFU MKUBWA unaoikumba CCM hivi sasa hata kijana wetu huyu akapotea kwenye vita na malengo yake sasa kubakia kuwa ni za kufikirika tu.

Ndio, kule katika kutumia ule udhaifu uliomo ndani ya CCM na serikali yake (ambapo kwa taarifa za nyuma ya pazia zilizoko kibindoni tayari), si Zitto Zuberi Kabwe tu ndio amepotea kwenye malengo ya msingi ya vita vya ukombozi na kugeuka kuwa vita vya UTAFUTAJI BINAFSI, kuna kitu kikubwa zaidi kinachoendelea kujikimbiza maofisini na KUGANDISHA wengine walio wengi wasijue cha kufanya kwa hayo mazingira ya sasa huku wengine wachache tu wao wakijikimbiza ovyo huku na kule mkono kugusa kila wakionacho mbele yao - tafakari!!!

Kama suala ni wangapi ambao VYEO VYA VYA KI-CHAMA hivi sasa vimeota kutu kwa kutokana tu na ukweli kwamba vyeo hivyo havifanyiwi kazi tena basi mkuu pengine ni kwamba tu ulianza kwanza kwa kutupa jicho CHADEMA ambpo kweli kuna wawili watatu hivi ambao hata na sisi huku uraiani tungependa tujue TATHMINI YA UTENDAJI WAO NA TIJA kichama, lakini ukija kugeukia upande wa pili ulimo wewe hapo bila shaka watu tutakusamehe tu endapo utadhani uko ndotoni tu.

Naam, nasema Malaria Sugu (haikubaliki) kwamba hivi sasa ni kama vile watendaji wengi sana wa CCM kama wameenda likizo bila malipo vile. Kwa haraka haraka tu pindi utakapo tazama huko kwenu CCM hivi sasa maafisa wengi mno wa chama viti vyao vinaendelea kukusanya vumbi kkwa idadi kubwa mnoo!!!!!!!!

Hii hali si nzuri hata kidogo kwaa chama tawala maana ni rahisi tu mfanyabiashara wa miaka mingi akaamua kutundika tenga ukutani bila kuendelea na shughuli zake za kuuza maembe ila juhudi za kuhitajika kuja kuwapata wale wateja waliomzoea kununua maembe kwake itakua ni mbinde sana kwa wengi wao watakua wamebadili makazi na kazi huku wauzaji wengine wakiwa wameingia kwenye biashara hiyo tayari na kuchukua nafasi zote muhimu.

Malaria Sugu, CCM isije ikawa imefunga biashara kwa kujichagulia tu kuendelea kulala lala nyumbani na kufanya baadhi ya Manaibu Katibu Wakuu' kibao tu kujikodisha kuchukua nafasi zile muhimu 'zilizobki wazi' ili kuhudumia wateja walioachwa solemba. Sasa swala la 'Mhudumu wa Akiba' lijitokeza kwa hiari yake mwenyewe, usiniulize kwamba anahudumia kwa maslahi ya nani katika mazingira haya.

Kwa kuhitimisha tu kwa sasa, ni vema ikumbukwe kwamba kinyang'anyiro cha UENYEVITI WA KAMATI MBALI MBALI ZA KUDUMU Bungeni kilikua ni kikali sasa. Miongoni mwa viti hivyo vilipatikana kwa kupitia VIMBWANGA, SARAKASI NA MAZINGAOMBWE kibao tu. Enzi hizo zilikua ni enzi zile ambapo wabunge wa CCM walikua hawajagawanyishwa sana na vijimambo hata wakatumia vema wingi wao bungeni kugawa viti hivyo kishabiki na kambi ya upinzani kujiambulia vichache LAKINI kwa hisani tu ya CCM.

Miongoni mwa watu waliojiambulia viti vinono sana katika vile vichache vilivyokwenda kambi ya upinzani, ni Mhe sana Zitto Kabwe Zuberi. Ikumbukwe kwamba kiti hicho alikipata DAKIKA ZA MAJERUHI, kwa shangwe kumwa ya wabunge wa CCM kama ambavyo walivyotujulisha kwenye nyuso zao na nderemo zilizotoboa paa la Mjengo wetu Domz.

Lakini kwa kwa namna ya kustaajabisha sana ni kwamba wabunge wetu hawa hawa wa CCM mpaka hivi leo hawajachukua fursa yoyote kutuma MAREJESHO juu ya kazi ya huyu changuo lao toka upinzani ila kwa habari za nyuma ya pazia ni kwamba Zitto Kabwe hivi sasa hata akidongoka kwa bahati mbaya tu mbele ya macho yao huko kwenye maofisi yao huko, hakuna hata mmoja atakayeweza kutuma ujumbe fupi ili ambulance ije imchukue achilia mbali kupiga simu; sana sana, taarifa zinavyosema, wengine wao huko maofisini huenda wakachukua tu fursa hiyo KUMZIKA NA MAFAILI.

NB: Malaria Sungu, kama wewe ni mtu makini kweli bsi ni bora ukaweka ushabiki wa CCM pembeni kwanza na ukajiuliza kwamba:

1. Zitto Kabwe Zuberi na Januari Makamba wote hao wanawakilisha SAUTI YA KIKUNDI GANI ndani ya CCM?

2. Je, kati ya hao watu wawili ni yupi ndiye anayemtumia mwenzake na kwa malengo gani?

3. Je, hizi vurugu (frequent Roadside Pronouncements of The Two Parliamentary Committee Chairmen) za hawa vijana wawili zinazowakera kupindukia Mawaziri kibao na maafisa waandamizi wa Wizara mbalimbali ni mawazo yao binafsi au ni maazimio rasmi zilizorekodiwa kwenye kamati husika?

4. Mikataba kibao inayofukuziwa hivi sasa kuhusiana na miradi kibao ya gesi nchini, sehemu ya mawaziri, viongozi waandamizi wa wizara husika, uwakilishi wa vyama vya upinzani na safari hii uhusika wa asasi za kiraia katika hatua zote za kuelekea kuundwa kwa mkataba wowote au ukopaji kutoka IFC kwa jina la Tanzania ikoje kama hawa vijana wako bize kutafuta kuwatimua kazi mawaziri husika na wao kuunganisha kofia zote mbili kinyemela?

CHADEMA, CCM, TLP, NCCR-Mageuzi, na asasi za kirai zote nchini, pupa za hawa vijana wawili zikiingiza taifa kwenye mikataba za kinyemela na ndoano zaidi basi msikwepe lawama huko baadaye - kwa mujibu wa taarifa zilizopo hewani tayari.
 
Who among them is up for change? who has ever changed anything?..name one.

Usiongee kwa vile unamjua personally..........issue hapa ni kwamba ukiwa CCM huwezi kufanya anything good. Thats how it works kwa wanaccm!!

Sasa nikuulize wewe nani kakwambia ukiwa CDM unaweza kufanya changes? Why Zitto alizuiliwa asigombee uwenyekiti? You need to think kabla huja payuka. all these political parties are here for special interest. Ndio maana kina sisi tulishasema kwamba wabunge binafsi ndio solution.

Hakuna chama chochote Tanzania ambacho kipo kwa maslahi ya Watanzania.
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana. Kinachonishangaza mimi hata wakati wa chama kimoja tuliwakuwa tunampigia kura JK Nyerere ya HAPANA, au NDIYO. The same ikaja kwa Alhaj A H Mwinyi. Huwezi kuwa legimate kama uongozi wako hautokani na uchaguzi. Suala la kupita bila kupingwa ni ubakaji mkubwa sana wa Demokrasia, Ushahidi mkuu ni JIMBO LA NYAMAGANA: Yule jamaa aliyejifanya kapita bila kupingwa, hata kama Wenje asingeruhusiwa kugombea na NEC Taifa, basi kura za HAPANA zingemtoa katika ubunge. Katiba Mpya iliangalie hili.

Anayesakamwa kila siku hapa JF kwamba eti sio Mbunge halali ni January Makamba peke yake! Mbona hatusikii haya majina nayo yakitajwa? Wote hawa wamepita bila kupingwa:

Pinda, Makinda, Tibaijuka, Ngeleja, Mwandosya, Lukuvi, Ndugai, Teu, Sendeka, Filikunjombe, Maige, Mkono
.

Kama mlishindwa kusimamisha mpinzani Bumbuli mjilaumu wenyewe kwa kushindwa kutumia haki yenu ya kidemokrasia hata kama mlijua mtagaragazwa. Zaidi ya hapo, huu ni upuuzi na chuki ya wazi dhidi ya January. Mjiulize ni kwanini hasa? Mlianza na kudai eti amekatazwa kuingia Marekani na Serikali ya nchi hiyo kwasababu Lisa Rockerfeller. Ujuha mtupu! Mwezi uliopita tukashuhudia yupo NYC kwenye mkutano wa Obama ambao Rakesh Rajani pia alihudhuria na kuzungumza. Mkaja na upuuzi mwingine kwamba amezuia uchunguzi wa North Mara na kapewa 2M USD. Mada ika-flop. Sasa umeamua ku-photoshop email ya 1M USD kutoka hao hao Barrick (mmeshusha dau), hata mtoto mdogo akiangalia anajua email ile imechakachuliwa. Mtaishia wapi? Nadhani kinawauma sana jinsi ambavyo January yeye yupo above the fray, tena wala hapotezi muda kuzungumzia hadharani juu ya chokochoko zenu na kuzipa mshiko. It must drive you all insane - mahasimu wake! Bahati nzuri Watanzania wengi wanaona hili na wajua ukweli wa mambo, lakini tuwe macho na sampuli hizi zinazotuletea skendo za uwongo humu ndani kama za General Shimbo.... Be warned everybody!!!!!!!!!
 
Hii skendo ya Juzi ya mwamvita, January awaulize Ridhiwani Kikwete na William Ngeleja. nina uhakika 100%. Wamewania kumporomosha jamaa au kupunguza kasi yake. January take notes here. Adui zako wakubwa waliotumia dada yako ni Ngeleja na Ridhiwani. Kuwa mwangalifu jamaa watakumaliza, na wala usimtafute mchawi mwingine. Hawa ndio wachawi wanaopania kukumalia. Ridhiwani bifu binafsi, Ngeleja wewe kuingilia kazi yake.

Pole mkuu ndo utu uzima na siasa uchwara za Bongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom