Baba ameaema tuaipende kuongea wakati umeweka chakula mdomoni [emoji2] [emoji2]Jamani akisema tu watamfanyia ya Nape Mnauye inabidi ajifanye mjinga, lakini mimi najua atakuwa anaongea na siyo lazima aweke wazi maongezi yake. Hali halisi hairuhusu kuwa mmuwazi katika awamu hii ya tano.
Hata waziri wa madini nae kapiga kimyaaaa, migodi inataka kuuza mitambo serikali inazuia ila waziri hajulikani alipo.Naamini ukimya wake unaashiria madudu yanayofanyika, asihusishwe. Mwenye busara utamjua kuwa kimya kuliko kujifanya kama wa maliasili
Ili uendelee kupiga madili na kukwepa kodi,au siyo.Kwa huyu tuliye naye, ni mara 1000 wangempa Februari!
Hata yeye akiwa Rais mtakuja humu kutuambia ana Masters degree feki,wa TZ tuna tatizoHuyu ni kijana msomi hawez akakubali kupelekwa pelekwa na mtu mwenye piechidii feki
Toa solution ya hilo tatizo sasa.Hata yeye akiwa Rais mtakuja humu kutuambia ana Masters degree feki,wa TZ tuna tatizo
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.
Leta ukweliAcha uongo
Kwani Kinana na Nape unawaonaje mkuu!? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika kwa JanuaryHuyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.
Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Ha ha ha ha elimu yake ni yakimagumashi sanaaa tangu aibe mtihani pale GalanosHe Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.
Nape tangu atolewe bastola hana ujanja kabaki kwenye mitandao siku moja moja. Kinana inaonekana bado ana ratiba ya kuonana na Dr kule India alikotumwa ndiyo maana haonekani. Sasa kabaki January ambaye ndiyo haeleweki kabisaa kama yupo bora hao wengine wana sababu zaoKwani Kinana na Nape unawaonaje mkuu!? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika kwa January
Kaka January fanya kazi zako nakutakia ndoto njema, mzee waangalie mawaziri, wakuu wa mkoa na wilaya ambao kila siku wako kwenye social media hakika hawa Wana lengo tofauti kabisa na wewe wao wa naangalia fursa za 2020 na 2025 mzee waangalie vizuri siku njemaKukaa kimnya ni hekima iliyotukuka
Plastic bags. Makamba tusaidie katika hili. Najua mawaziri wajanja kama yule wa mapolisi yuko humu. Hebu mpelekee Makamba huu ujumbeDuh kazi kweli kweli jamaaa ni mjanja mjanja na muoga sana. Sakata la mifuko midogo ya plastic January makamba anashindwa kuwakemea wale waarabu wanaozalisha mifuko ya Plastic
NEMC kiboko yake. Ale hela za mifuko ya plastik tu. Nemc asiguseJanuary aliwatumbua watu wa mazingira, alafu jamaa wakagoma
Amechagua mkondo mwingine tofauti na mlioukaririLeta ukweli