January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

Jamani akisema tu watamfanyia ya Nape Mnauye inabidi ajifanye mjinga, lakini mimi najua atakuwa anaongea na siyo lazima aweke wazi maongezi yake. Hali halisi hairuhusu kuwa mmuwazi katika awamu hii ya tano.
Baba ameaema tuaipende kuongea wakati umeweka chakula mdomoni
 
Naamini ukimya wake unaashiria madudu yanayofanyika, asihusishwe. Mwenye busara utamjua kuwa kimya kuliko kujifanya kama wa maliasili
Hata waziri wa madini nae kapiga kimyaaaa, migodi inataka kuuza mitambo serikali inazuia ila waziri hajulikani alipo.
 
January anajipanga kuvaa viatu vya boss wake so anaogopa kutumiwa kingese ili asichafue cv yake... Naomba kuwasilisha
 
Moja Ya Kijana ambaye namkubali Sana ni January Makamba. Pesa nitatafuta mwenyewe, ila katika Maisha nataka kijana mwenye mawazo chanya Sana, na mwenye busara. Namtakia heri Ya kukaa kimya, hiyo ndio siraha iliobaki kwa sasa.
 
Hapo kuna mawili, labda speed imekuwa ndogo au kapigwa sindano ya ganzi!.
 
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae

I really Like him.

Ni mmoja ya watu ambao waliathiriwa na utawala wa JK na kuona Urais ni Kazi nyepesi na kila mtu anaweza iomba......
Hajawai tosha iyo nafasi.........
 
Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.

Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Kwani Kinana na Nape unawaonaje mkuu!? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika kwa January
 
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae

I really Like him.
Ha ha ha ha elimu yake ni yakimagumashi sanaaa tangu aibe mtihani pale Galanos
 
Kwani Kinana na Nape unawaonaje mkuu!? Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika kwa January
Nape tangu atolewe bastola hana ujanja kabaki kwenye mitandao siku moja moja. Kinana inaonekana bado ana ratiba ya kuonana na Dr kule India alikotumwa ndiyo maana haonekani. Sasa kabaki January ambaye ndiyo haeleweki kabisaa kama yupo bora hao wengine wana sababu zao
 
Nahusudu his leadership style ana kila kitu kizuri
Ila sijajua kwa jinsi gani anafanikisha shughuli za maendeleo jimboni mwake kwa bahati mbaya tz tumekuwa na watu wanafikia kuwa waziri mkuu lakini jimboni kwake hajachimba hata kisima kimoja au kujenga Zahanati
 
Hata wakati wa uchagizi uliopita jarida la "The Economist" walikimpa nafasi kubwa ya kushinda uraisi hawakujua maboya tuna vigezo vyetu vingineee
 
Kukaa kimnya ni hekima iliyotukuka
Kaka January fanya kazi zako nakutakia ndoto njema, mzee waangalie mawaziri, wakuu wa mkoa na wilaya ambao kila siku wako kwenye social media hakika hawa Wana lengo tofauti kabisa na wewe wao wa naangalia fursa za 2020 na 2025 mzee waangalie vizuri siku njema
 
Duh kazi kweli kweli jamaaa ni mjanja mjanja na muoga sana. Sakata la mifuko midogo ya plastic January makamba anashindwa kuwakemea wale waarabu wanaozalisha mifuko ya Plastic
Plastic bags. Makamba tusaidie katika hili. Najua mawaziri wajanja kama yule wa mapolisi yuko humu. Hebu mpelekee Makamba huu ujumbe
 
Back
Top Bottom