Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,659
- 8,285
Lakini pia nadhani alipewa zigo lililozidi umri na uwezo wake ili kumfunza adabu kuwa hawezi toka kuwa mwandishi wa hotuba za raisi mpaka kuwa mtu muhimu na mwenye nguvu kwenye chama.Kumbe ndiyo maana kapiga kimya
Kama alidhani vile vimafumbo vyake alivyoviweka kule twitter na kwingineko vina maana sana, achomoze na SULUHU ya kudumu ya kero za muungano, mfupa uliowashinda mafisi....ili tujue amekuwa, anatosha!
Muulizieni pia kuhusu dada'ake yule!