Hiyo ni Sera ya dalaja la kitaifa na makubaliano ya Baraza la Mawaziri na sio jambo la Waziri fulani peke yake.kama tu kashindwa kusimamia uondoaji wa mifuko ya Rambo kwenye mazingira yetu ndiyo ataweza kuongoza nchi
Hapana, mimi nimemtathimini January Makamba.Hizo sifa ulizoorodhesha ukizisoma kinyume ndiyo vilema vya huyu jamaa tuliyenaye. Njua ndicho ulichomaanaisha.
Labda rais wa familia yako. Taifa lina bahati mbaya sana hiliHe Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.
Kwanini mkuu,Labda rais wa familia yako. Taifa lina bahati mbaya sana hili
Kwa nini asijiuzuru?Hakubaliani na muenendo wa baba ubaya juu ya taifa hili
Rais ni taasisi ndio lakini labda kwa Marekani, hapa kwetu Urais ni One-Man Show kwa mujibu wa katiba yetu !Kwanini mkuu,
Mbona kama umehamaki vile...!
Raisi si ni taasisi, yenye viongozi na wataalamu wengi tu wa kuiendesha vizuri.
Au unaangalia Sura...?
Wewe pia unaweza kuwa Raisi Mkuu wacha hizo.
Makamba yuko Smart sana. sio mtu wa kujionesha kutaka sifa. Pale ofisini kwake kazi inafanyika kweli kweli.
Hebu tembelea uone mwenyewe kwa macho yako.
Mimi nimethaminisha utendaji wake wa kazi.
He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.

Unajipigia debe mwenyewe aisee duhHapana, mimi nimemtathimini January Makamba.
Sio mtu mwingine.
Kiongozi. Unakunywa bia gani nikupongeze ??? Wanakuletea tatu briiiidkama tu kashindwa kusimamia uondoaji wa mifuko ya Rambo kwenye mazingira yetu ndiyo ataweza kuongoza nchi
Kwa huyu tuliye naye, ni mara 1000 wangempa Februari!Awamu ile ilimbeba sana sasa ina onekana wazi uwezo wake ni mdogo.et nae alikua anautaka uraisi.nchi hii inavitimbi dogo kapwaya sana kubwebwa sio kuzuri ningekua magu ninge piga chini
Jamani jamani jamani, hebu acha hizo, kwani hatujui hadi utudanganyeHe Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.
ahahaha unanikumbusha kisa cha mtu mchoyo,anafichia watu watu hadi na yeye anajikuta anasahau alipoviweka..Magu katuzoesha si unajua yale makamera ya series za makinikia hatujazisikia kitambo sasa. Au vyuma vimekaza hadi kwa magu mwenyewe?