anapiga kazi gani jimboni kwake kuko kama alivyokukuta ? wajinga wachache humu utawasikia mara msigwa, mara lema, mara nani hajasaidia maendleo jimboni kwake nendeni kwa huyu bwana mkaone.yye akifika anaishia lushoto na kula mai na kugeuka akiwa na bwana BosniaMmezoea watu wafanye kazi kwenye media eeh! Yupo anapiga kazi.
Kama siyo majaliwa basi huyu atatufaa.He Is a Good Presidential Material,
Anafaa kuwa Raisi wa JMT hapo baadae.
Hana makuu
Hajidai
Sio all knowing
Anasikiliza watu
Mpole
Anahuruma
Msomi
Anahekima
Anajali watu
Anashaulika
Hana papara
Hana tamaa ya mali
Mcha Mungu
Mtoto wa mjini
Sio mshamba
Sio limbukeni
Hana jazba
Hana kisasi
Hajikwezi
Nk.
NB. Anamapungufu ya Kibinadamu na sio ya kitabia.
Atatufaa hapo baadae
I really Like him.
Atakuwa anaendelea kuzisoma namba za One Man Show. Kwa maneno mengine anaicheza ngoma ya mzimu waliojitengenezea wenyewe. Hii serikali nawambia anayeifurahia ni Bashite tu. Huyu fala sijui mganga wake nani??!!!


Kasoma upepo asije aribu CV yake bado anasafari ya kutimiza ndoto yake, huko ukubwani,sio kama wengine washaharibu cv zao wangali ni vijana wanatembea huku wanajipiga kitanzi.Wakati wana ndoto.Wameshindwa kujua technology utunza historia.
Mzee Mwinyi hakuwa kimbelembele wakati wa Nyerere, vimbele mbele walikuwa Kawawa na Msuya
Mzee Mkapa hakuwa Kimbelembele wakati wa Mwinyi, vimbele mbele walikuwa Mrema na Malecela
Mzee Kikwete hakuwa Kimbelembele wakati Mkapa, vimbele mbele walikuwa Sumaye na Mzee Makamba
Dkt Pombe hakuwa Kimbelembele wakati wa Kikwete, vimbelembele walikuwa Lowassa na Membe
January Makamba sio Kimbelembele wakati wa Dkt Pombe, vimbelembele ni Makonda na Kigwangala!




agune gune hajipendi???Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.
Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Kujitenga na awamu ya 5 ni bora zaidi kwa mcha Mungu kuliko kushirikiana nayoHuyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.
Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Wewe Jamaa Hujawahi Kukubali Kuwa Dkt Baba Ubaya Alipatikana Kimakosa Katika Mchakato Ule wa 2015?![]()
Jamani akisema tu watamfanyia ya Nape Mnauye inabidi ajifanye mjinga, lakini mimi najua atakuwa anaongea na siyo lazima aweke wazi maongezi yake. Hali halisi hairuhusu kuwa mmuwazi katika awamu hii ya tano.
