nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
..nimemwona couple of weeks back akiwa na kigwangala..wote wamechoka kichizi...hata kunyoa midevu wanasahau siku hizi kudadeki....wanasoma namba kiaina....wakikohoa tu hawana chao mbele ya bashite na bwana Mkubwa....wao wanachoka...lakini bashite ananona.....the irony of this dictatorial regime in tz...