January Makamba (Mb) amepatwa na nini?


Huwezi kuwa serious ndugu! Labda uwe unafaidika na Microsoft
 
Rejea Sakata La Sukari Inasemekana Alikuwa Akiongea Na Wafanyabiashara Waihujumu Serikali Wakamshtukia Toka Kipindi Hicho Kimya
acha uongo..kwa serikali hii ya magufuli asingebaki salama.
 

Utaacha lini kutumika? Hatuhitaji kufanya majaribio kwenye hiyo nafasi ya urais.

Shida kubwa ya jamaa ako napenda sana pesa, kumbuka zile tozo pale ikulu za kumwona JK.

Umarekani mwingi sana kuliko utanzania.
 
Januari Makamba kawa kama kafungwa kamba. wanaoruhisiwa KUSEMA ni kina Mavunde, King Ngwalangwala, na wengine wachache..
 
THUBUTU yake
 
Awamu ile ilimbeba sana sasa ina onekana wazi uwezo wake ni mdogo.et nae alikua anautaka uraisi.nchi hii inavitimbi dogo kapwaya sana kubwebwa sio kuzuri ningekua magu ninge piga chini
i agree with you
 
Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.

Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Nafikiri ni waziri kwenye ofisi ya Makamu ya Wa Rais, hebu mcheki Mama Samia atakuwa anajua alipo.
 
Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.

Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Kumbukeni watanzania (CCM) mlenichagua kwa vigelegele na shangwe nyingi sana mkijua mm ndiye ninayefaa kuwaongoza, sasa basi achani niongoze taifa la watu walio kimya.
 
Hiyo ni Sera ya dalaja la kitaifa na makubaliano ya Baraza la Mawaziri na sio jambo la Waziri fulani peke yake.

Sijakuelewa vizuri!
Inamana wamekubaliana matumizi ya mifuko ya plastic yaendelee kuchafua mazingira?
Halafu mifuko hii watu wanabebea vyakula vya moto na wengine wanapikia Chakula ktk kupalia wali n.k halafu haiozi.
Hivi Serikali inapata kigugumizi gani ktk kukomesha uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastic ?
Afya Za waTZ ziko mashakani Kama siyo kuathiriwa na hii mifuko jamani !
Kwani Mbona inawezekana kuzalishwa na kutumiwa Kwa mifuko ya karatasi ?
Hilo swala linahitaji mjadala wa Kitaifa!
Sasa atajivunia kuleta tija yenye kuonekana Kwenye jamii!
 

Yeye, nape na mgulu mambo waliyoyafanya wakati wa kampeni ya uchaguzi ya Taifa ulopita ukiyasikia utawafahamu kuwa ni watu wa aina gani!
 
THUBUTU yake
Jamaa ana hekima ya uongozi ki ukweli.
Hebu msikilize alivyosema siku ya kwanza na kwa mara ya kwanza alipozungumza Bungeni, akiwa kama Mbunge wa Bumbuli.

Tafuta kwenye Youtube.
 
Jamaa ana hekima ya uongozi ki ukweli.
Hebu msikilize alivyosema siku ya kwanza na kwa mara ya kwanza alipozungumza Bungeni, akiwa kama Mbunge wa Bumbuli.

Tafuta kwenye Youtube.
Hamna kitu cha namna hiyo.

HAFAI
 
Kwan kuongea bila kuwa na maamuzi kufuata au unaongea meingne anakuja kusema yeye ndo mwenye maamuz bora akae hvyo hvyo maan dah
 
Katika ndege wachache ambayo mwana anawalia timing huyu no mojawapo. Ila naye ameshtukaga mapema Sana ndio mana anakuwaga makini Sana.
Amebaki Mwigulu Tu.
Nape alishakula kichwa kitambo Sana.
Note that....
 
MAKAMBA SI NDO ALITANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI KABLA YA TUME... NAMKUMBUKA SANA HAYA JAMAA NAMWONA KAMA MTU FULANI ALIYECHANGIA MATATIZO NCHINI.

WACHA ASOMESHWE NAMBA NA KUZIBWA MDOMO TU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…