January Makamba (Mb) amepatwa na nini?

Mmezoea watu wafanye kazi kwenye media eeh! Yupo anapiga kazi.
anapiga kazi gani jimboni kwake kuko kama alivyokukuta ? wajinga wachache humu utawasikia mara msigwa, mara lema, mara nani hajasaidia maendleo jimboni kwake nendeni kwa huyu bwana mkaone.yye akifika anaishia lushoto na kula mai na kugeuka akiwa na bwana Bosnia
 
Kama siyo majaliwa basi huyu atatufaa.
 
Amepatwa na jua... Si unajua kupatwa kwa jua? ndo kumempata Makamba
 
Kwani hivi anawadhifa gani kwasasa huko Tanzania?
 
Huyu Jamaa Yupo Mkuu Anajipanga na Kuunda KaMtandao kake Vyeema For 2025 iwapo Sizonje Hatapitisha Upuuzi wake wa Miaka Saba 7.
 
Atakuwa anaendelea kuzisoma namba za One Man Show. Kwa maneno mengine anaicheza ngoma ya mzimu waliojitengenezea wenyewe. Hii serikali nawambia anayeifurahia ni Bashite tu. Huyu fala sijui mganga wake nani??!!!

Hahahaaha Dah Nimecheka Sana Mkuu.[emoji23][emoji23]
 
Mzee Mwinyi hakuwa kimbelembele wakati wa Nyerere, vimbele mbele walikuwa Kawawa na Msuya

Mzee Mkapa hakuwa Kimbelembele wakati wa Mwinyi, vimbele mbele walikuwa Mrema na Malecela

Mzee Kikwete hakuwa Kimbelembele wakati Mkapa, vimbele mbele walikuwa Sumaye na Mzee Makamba

Dkt Pombe hakuwa Kimbelembele wakati wa Kikwete, vimbelembele walikuwa Lowassa na Membe

January Makamba sio Kimbelembele wakati wa Dkt Pombe, vimbelembele ni Makonda na Kigwangala!
 
Kasoma upepo asije aribu CV yake bado anasafari ya kutimiza ndoto yake, huko ukubwani,sio kama wengine washaharibu cv zao wangali ni vijana wanatembea huku wanajipiga kitanzi.Wakati wana ndoto.Wameshindwa kujua technology utunza historia.

TIALALA
 

Wewe Jamaa Hujawahi Kukubali Kuwa Dkt Baba Ubaya Alipatikana Kimakosa Katika Mchakato Ule wa 2015?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.

Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
agune gune hajipendi???
 
Huyu Mheshimiwa ni Waziri na moja ya taswira ya CCM wakati wa mchakato wa uchaguzi wa 2015 akiwa pamoja na Kinana na Nape. Kimya chake na kutokuonekana kwake kunazua maswali mengi.

Kama kuna mwenye kujua nini kimempata huyu Mheshimiwa atueleze.
Kujitenga na awamu ya 5 ni bora zaidi kwa mcha Mungu kuliko kushirikiana nayo
 
Makamba yupo vzr anapiga kazi balaa,sema ameamua awe chini kwa chini awamu hii.mcheki Twitter yupo huko daily
 
Wewe Jamaa Hujawahi Kukubali Kuwa Dkt Baba Ubaya Alipatikana Kimakosa Katika Mchakato Ule wa 2015?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlipigwa chenga ya mwili akili zenu zikahamia kwa Membe!

Kaenda Ikulu akaambiwa kachukue form mengine tuachie sie!

Au unadhan na Lowassa alikatwa Kimakosa?

CCM haijawahi kwenda Dodoma kuchagua Mgombea Urais ikiwa hajui Nani anakuwa Mgombea
 
Makarai bhana, yanajiuliza na kujipa majibu yenyewe!!
 
Jamani akisema tu watamfanyia ya Nape Mnauye inabidi ajifanye mjinga, lakini mimi najua atakuwa anaongea na siyo lazima aweke wazi maongezi yake. Hali halisi hairuhusu kuwa mmuwazi katika awamu hii ya tano.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Alishakula mema ya nchi kipindi chake sasa hali ya hewa imechafuka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…