Lakini pia nadhani alipewa zigo lililozidi umri na uwezo wake ili kumfunza adabu kuwa hawezi toka kuwa mwandishi wa hotuba za raisi mpaka kuwa mtu muhimu na mwenye nguvu kwenye chama.Kumbe ndiyo maana kapiga kimya
Unasema kweliAmelaaniwa na Mashekh baada ya kwenda Maulidi kule jimboni kwake akiwa amelewa pombe chakali.
Basi basi, tutamleta Malaika awamu ijayo.Jamani jamani jamani, hebu acha hizo, kwani hatujui hadi utudanganye
Bila kubebwa huwezi kuifikia hata ngazi ya Mkuu wa Wilaya.Rais ni taasisi ndio lakini labda kwa Marekani, hapa kwetu Urais ni One-Man Show kwa mujibu wa katiba yetu !
- Huyo Makamba hana dira wala wazo lolote jipya la kujenga zaidi ya tamaa tu ya kwenda Ikulu tu. Mtu mwenyewe amefika hapo kwa kubebwa bebwa tu kwa mbeleko
Wala sijawahi kupishana naye mita moja.Unajipigia debe mwenyewe aisee duh
Huyo February hajatmia siku anamapungufu hatufaiKwa huyu tuliye naye, ni mara 1000 wangempa Februari!
Duh kazi kweli kweli jamaaa ni mjanja mjanja na muoga sana. Sakata la mifuko midogo ya plastic January makamba anashindwa kuwakemea wale waarabu wanaozalisha mifuko ya PlasticRejea Sakata La Sukari Inasemekana Alikuwa Akiongea Na Wafanyabiashara Waihujumu Serikali Wakamshtukia Toka Kipindi Hicho Kimya
Waarabu wanampa pesa, mifuko isitoke kwy mzunguko jamaaa afai kuwa hata kiongozi yoyote, ni muoga sanakama tu kashindwa kusimamia uondoaji wa mifuko ya Rambo kwenye mazingira yetu ndiyo ataweza kuongoza nchi
Kuna jimbo gani lisilo na shidaJimbo lake la bumburi lina shida sana kuliko maelezo
Kasoma upepo asije aribu CV yake bado anasafari ya kutimiza ndoto yake, huko ukubwani,sio kama wengine washaharibu cv zao wangali ni vijana wanatembea huku wanajipiga kitanzi.Wakati wana ndoto.Wameshindwa kujua technology utunza historia.Waarabu wanampa pesa, mifuko isitoke kwy mzunguko jamaaa afai kuwa hata kiongozi yoyote, ni muoga sana
Kagoma kuufyata kwa bashiteBaba ubaya anamzuia hata tusimuone akipiga fine viwandani kama anavyofanya msaidizi wake?
Kukaa kimnya ni hekima iliyotukuka
Awamu ile ilimbeba sana sasa ina onekana wazi uwezo wake ni mdogo.et nae alikua anautaka uraisi.nchi hii inavitimbi dogo kapwaya sana kubwebwa sio kuzuri ningekua magu ninge piga chini
Kwanini mkuu,
Mbona kama umehamaki vile...!
Raisi si ni taasisi, yenye viongozi na wataalamu wengi tu wa kuiendesha vizuri.
Au unaangalia Sura...?
Wewe pia unaweza kuwa Raisi Mkuu wacha hizo.
Makamba yuko Smart sana. sio mtu wa kujionesha kutaka sifa. Pale ofisini kwake kazi inafanyika kweli kweli.
Hebu tembelea uone mwenyewe kwa macho yako.
Mimi nimethaminisha utendaji wake wa kazi.