January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇

.
JamiiForums-1499445297.jpg
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023..

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇

Hii inaitwa bring back money to the people's pockets once again campaign. Plenty of richest loading
 
Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023..

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.

Serikali ya kutapanya pesa hiyo trillion 1 unaanza tenesco mpya
 
Back
Top Bottom