January Makamba awa gumzo Kariakoo

January Makamba awa gumzo Kariakoo

10671421_776656852376281_7328041399478880397_n.jpg

"January anafanya kazi nzuri ya Ubunge. Pia ananisaidia sana kwa kazi ya Wizara niliyompa. Unajua January alipogombea Ubunge alinificha. Nilikuwa nasikia kwa wenzake tu pale ofisini. Baadaye alivyoweka mambo yake sawa ndio akaja kuniambia kwamba Mzee na Mimi najitosa. Nikamtakia heri. Kwa kweli kwa jinsi anavyohangaika na Jimbo lake inaonyesha Ubunge aliutaka Kwa dhati kabisa ya kusaidia watu wa Bumbuli. Nimesikia anafikiria mambo makubwa. Hajaniambia. Mi Nimesikia tu. Namtakia kila la heri. Haya mambo anaamua Mungu. Wala hayalazimishwi. Mungu akitaka linakuwa hata kama watu wote hawataki. Mungu akiwa hataki hata kama mtu ukitaka jambo hilo vipi haliwezi kuwa. Mimi nilishauriwa na Mzee mmoja kwamba jambo likifika wakati wake utalipata hata kama utapingwa kiasi gani. Kama halijafika wakati wake haliwezi kutokea. Mimi niligombea 1995 sikupata kwasababu haikuwa wakati wake. 2005 ikawa wakati wake nikapata. Na wewe usipopata sasa usiweke nongwa"

View attachment 200821View attachment 200822
 
ni vema kuwa na viongozi vijana ila sio january makamba.

"January anafanya kazi nzuri ya Ubunge. Pia ananisaidia sana kwa kazi ya Wizara niliyompa. Unajua January alipogombea Ubunge alinificha. Nilikuwa nasikia kwa wenzake tu pale ofisini. Baadaye alivyoweka mambo yake sawa ndio akaja kuniambia kwamba Mzee na Mimi najitosa. Nikamtakia heri. Kwa kweli kwa jinsi anavyohangaika na Jimbo lake inaonyesha Ubunge aliutaka Kwa dhati kabisa ya kusaidia watu wa Bumbuli. Nimesikia anafikiria mambo makubwa. Hajaniambia. Mi Nimesikia tu. Namtakia kila la heri. Haya mambo anaamua Mungu. Wala hayalazimishwi. Mungu akitaka linakuwa hata kama watu wote hawataki. Mungu akiwa hataki hata kama mtu ukitaka jambo hilo vipi haliwezi kuwa. Mimi nilishauriwa na Mzee mmoja kwamba jambo likifika wakati wake utalipata hata kama utapingwa kiasi gani. Kama halijafika wakati wake haliwezi kutokea. Mimi niligombea 1995 sikupata kwasababu haikuwa wakati wake. 2005 ikawa wakati wake nikapata. Na wewe usipopata sasa usiweke nongwa"

View attachment 200824View attachment 200825
 
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.

View attachment 200826View attachment 200827
 
kama nikisema kuingia CCM , basi huyu kijana ni chaguo zuri sana kwangu , naiona kama tanzania ijayo inahitaji watu kama hawa mfano , ZITTO, JERRY SLAA, FILIKUNJOMBE na siyo ridhiwan kikwete. natumai huyu ndiyo atakuwa chaguo la CCM ,wakibugi step naona CCM wataangukia pua.
 
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.

sifa nyingine ni za kijinga sana!hiv huyu makamba anakitu gani amekifanya tangu awe naibu waziri?leo hii wizi mkubwa unafanyika kwenye makampuni ya simu.....kamali kibao....wizi wa kazi za wasanii....amewasaidia vijana gani hadi utuletee post za kipuuzi hiv?kwenye ving'amuz sasa....channel za bongo hazionekani zote!salio likiisha hupati channel za bongo!kituko tupu!
 
View attachment 200846View attachment 200846
 
kijana amewatembelea vijana wenzake.

kiukweli katika viongozi waliotangaza nia ya kutaka kugombea urais 2015 kupitia ccm ni bora ya january makamba,nadhani ni msafi hana kashfa yeyote na mchapa kazi.
 
Gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha Bodaboda Kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.

hii mbona unaweza hata wewe ukaenda kwenye kijiwe chochote ukapiga picha afu ukaiweka hapa afu inkuwa stoli ndhuli tu. we jalibu tu utakuwa gumazo kama huyu dogo MAKAMBA
 
duh!!! Haya ni matumzi mabaya ya fedha za walipa kodi yaani hata kinyago kinagawa fedha eti kipigiwe kampeni hapa jf kuhusu urais

hacha upuuzi wewe....jenga hoja siyo kukashfu watu humu....---- weeh.
 
kiukweli katika viongozi waliotangaza nia ya kutaka kugombea urais 2015 kupitia ccm ni bora ya january makamba,nadhani ni msafi hana kashfa yeyote na mchapa kazi.

bado ni dogo huyu hajakamata vicent ngoja avutevute kaumri afikie kama wangu au mzee wa vijisent mbona mtamtukana!! Kwani lowasa alianzaje?
 
Back
Top Bottom