January Makamba awa gumzo Kariakoo

January Makamba awa gumzo Kariakoo

MWIGULU NCHEMBA V/S JANUARY MAKAMBA kila mmoja akijaribu kuvutia kwake ngozi ya kondoo ili ajivike kwa lugha na ukarimu na busara za UONGO ILI KUWANASA WATU WASIOPENDA KUANGALIA RECORD YA MTU YA MIAKA 15 ILIYOPITA/E.N lowassa for the future of our country TANZANIA

mungu wangu mnataka kumpa lowassa?tumekwisha watanzania...kwa lowassa?si mnakumbuka RICHMOND ndio matokeo ya haya tunayoyasikia kuhusu IPTL/ESCROW, jamaa mpigaji sana.nyerere alikuwa na maono sana.
 
10671421_776656852376281_7328041399478880397_n.jpg

kijana naona amekuwa tishio mjini hapa,anawatia jamba jamba wakina lowassa na wenzie wenye kuutaka urais,lakini kijana yuko vizuri anauwezo sana wa kuwashawishi watu wamkubali na mzalendo wa kweli kuliko hao wengine wanaotajwatajwa kugombea urais 2015.
 
kijana naona amekuwa tishio mjini hapa,anawatia jamba jamba wakina lowassa na wenzie wenye kuutaka urais,lakini kijana yuko vizuri anauwezo sana wa kuwashawishi watu wamkubali na mzalendo wa kweli kuliko hao wengine wanaotajwatajwa kugombea urais 2015.
kijana anatisha sana kwa uwezo wake wa kuchanganua mambo na uelewa wake ni mkubwa sana ndani ya ccm.big up january makamba.
 
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.

Hata JK alikuwa kijana tu kama huyu mnayempigia chapuo sasa ivi kalamba hela ya kutosha anasepa zake mnabaki na nchi iliyofilisika na mawazo yenu ya kimadafu, most tanzanians are hopeless ushabiki usio wa kitafiti mnaiua hii nchi
 
Kampeni zake nimezipenda.
2025 anaweza kuwa mjengoni. Aendelee
 
We bwana acha tabia ya kujificha ni mwoga ku take risk angalie wenzio wakabili issue za nchi pale bungeni kwenye midahalo maandiko nk we unajificha nawakubali sana kina wasira lowasa kigwangala na mwingulu wanajiweka wazi we vipi kila saa offside unaviziavizia hutaweza uraisi utatuumiza
 
Bodaboda hawapigi kura hawashawishi mtu wanawaza hesabu ya siku pia bodaboda hawahitaji sapoti kubwa ya wanasisa kwenye kazi yao na ukiwataka wakupambie msafara unawalipa tu wavaaa flana rangi utayowapa na bendera utayopenda mfano ukiwapa mafuta na elfu kumi ukawapa bendera ya chadema flana ya ccm na kofia ya kafu vyote watakuwa navyo barbarani -kwnini hamwendi kwa wlimu madaktari wasafisha miji ambao serekali ina uhusino wa moja kwa moja gombea ubunge bwana
 
Alitaka kukodi Boxer? Nasikia zinatoka nduki ile mbaya.
 
mungu wangu mnataka kumpa lowassa?tumekwisha watanzania...kwa lowassa?si mnakumbuka RICHMOND ndio matokeo ya haya tunayoyasikia kuhusu IPTL/ESCROW, jamaa mpigaji sana.nyerere alikuwa na maono sana.

Mkuu umemsingizia Lowasa, IPTL imeingia nchini mwaka 1994 na ndio zao la Eskro (habari ya mujini) while Richard Monduli ni ya 2006; anyway, kufuatia comment ya Deo Filikunjombe kwamba kumbadiri waziri mkuu hakuna tatizo (ali koti ya mwl Nyerere) nimejiridhisha pasipo shaka yoyote kua both deals, IPTL/Escrow na Richmond mkuu wa kaya anahusika.
 
Back
Top Bottom