January Makamba awa gumzo Kariakoo

January Makamba awa gumzo Kariakoo

10671421_776656852376281_7328041399478880397_n.jpg

kila la heri january makamba.
 
Unaweza kutuambia ni nini ambacho amefanya huyu dogo kikawa na impact kwa taifa ukiisha tuwekea pima na aliyoyafanya Lowasa ambae anaonekana ni fisadi.

Jmakamba amegawa smartphones kwa mauvccm na sasa yamejazana humu kujambajamba tu humu kutwa nzima, that's is best thing he have done.
 
Hafai...aliiba mtihani wa form four 1992 akiwa galanos tanga.
 
Hizo hela mnazolipwa kumpa promo huyo msanii wenu mtugaie na sie basi humu.. Sio mnakuja na maneno matupu tu wakati nyie mmeshalambishwa kitambo kuja kututia ujinga hapa..
 
Hizo hela mnazolipwa kumpa promo huyo msanii wenu mtugaie na sie basi humu.. Sio mnakuja na maneno matupu tu wakati nyie mmeshalambishwa kitambo kuja kututia ujinga hapa..
kweli mpambavu anatabia ya kushupaa......pole yako kijana husiejitambua,tunaitaji vijana tujiongoze wewe unawaponda tena vijana,au wewe mwenzetu ni mzee nini?
 
hana jipya mtu anatafuta pakutokea ili apate ulaji tuu,miaka yote hiyo yuko busy na maisha yake inapofika karibu na uchaguzi utawaona wengi tuu wanasogelea vijana lakini ukweli kama hii katiba itapita hakuna kiongozi yoyote atakaekuwa msafi maisha yote ya TZ. Wote wezi ila katiba inatakiwa iwabane
 
Huyu si ndo mitandao ya simu iko wizarani kwake?
kama kila siku tunanalamika wanatuibia vijihela vetu na hajaweza kutusaidia,urais ndo atauweza huyu?
_jimboni kwake tu barabara vululu vululu?
_namshauri abakie na ubunge wake
 
kweli mpambavu anatabia ya kushupaa......pole yako kijana husiejitambua,tunaitaji vijana tujiongoze wewe unawaponda tena vijana,au wewe mwenzetu ni mzee nini?

Ha ha ha.. Huyo "mpambavu" mwenye tabia ya kushupaa ni afadhali mara mia maana hawezi kukubali hata kidogo kutumika kama daraja kuwapitisha wasiostahili hata kidogo.. Ukoo wa panya ni panya..
 
.. assanal huyo makamba bado sanaaa uwezo mdogo mtu kuongea sana siyo kama ana wezaa
utendaji wake wenyewe kafanya nini! sisi hatujaona alichofanya hatutaki another brazameni meingine ikulu
 
Last edited by a moderator:
gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha bodaboda kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.
umelopes sh,ngapii mkuu ?
 
Kwa anayesema kijana hana uwezo wa kuongea pengine hajawahi kumsikiliza aise. ImageUploadedByJamiiForums1415620993.619379.jpg
 
kwa anayesema kijana hana uwezo wa kuongea pengine hajawahi kumsikiliza aise.

kweli mpambavu anatabia ya kushupaa......pole yako kijana husiejitambua,tunaitaji vijana tujiongoze wewe unawaponda tena vijana,au wewe mwenzetu ni mzee nini?

wakuache kijan,wewe ndio kiboko yao.

kila la heri january makamba.

gumzo na baadhi ya vijana kwenye kijiwe cha bodaboda kariakoo jioni ya leo. Kila mmoja ana historia na ndoto mahususi za maisha yake. Wote wana maoni mengi namna gani mtu mmoja mmoja na pia nchi inaweza kufika pale tunapotarajia katika ngazi ya maendeleo na uwajibikaji. Ni jambo jema na la kutia moyo sana kuona vijana wana mtazamo chanya na mpana namna hii kuhusu hatima yao na nchi yao.

kwa hiyo huyu mzee aliyemaliza form four mwaka 1992 mnataka kumwingiza madarakani kwa hela za kifisadi na vizawadi anavyowapeni?
 
Back
Top Bottom