Apewe Uwaziri au asipewe, wewe inakuhusu nini?
Katika umri wake na mambo ambayo amefanya/anafanya amejitahidi sana, wewe umefanya nini so far kiasi cha kuwa na chuki na mtima nyongo kwa kijana mwenzako?
Wivu haujengi kaka, fanya kazi na omba Mungu
You are right! You are Correct and Perfect as well!
We As Youth we have been drown by the wind of Rumours,Gossiping and so many grudges based perceptions to the extent that we tend to cook stories based on our thoughts and NOT FACTS!
Me I just sometimes find this stupidity na Ujinga if we as youth we don't give ourselves times to build an Attitude of looking things in a Positive way then we will the lost generation ...
Yani kuna watu this Forum imekua kijiwe tu chakupotezea muda na kuleta ujinga the facts he knows to read and write...basi balaa....
Jamani... Tunatambua uhuru wa kila Mtu kutoa maoni ila nadhani kuchagua kua msomaji it makes a lot of sence kuliko kuandika ujinga tu..
Mimi nadhani tuwe na Tabia ya kuelimishana badala ya kuangalia kizazi kikiangamia! We are not serious in life ! We are not committed to our own future ! Our attitude towards Jobs and any other crucial issues ni ujinga tu...
We have developed a Carrier out of criticizing! We tend to criticize whatever comes up this is very bad for ourselves as individual and Nation at large!
Sasa tujiangalie binafsi kabla hujakosoa mwenzakowa
wewe mchango wako kwa Taifa ni nini hapo sehemu yako ya kazi Kama umeajiriwa au pia Kama umejiajiri..
Makamba anajitahidi apate uwaziri au asipate ni sawa na tuchukue kma muda wake bado na katika maisha sio kila unavyofikiria kiwe basi kiwe hapana ndio tatizo letu waafrika mwisho wake vurugu...
Hata akiwa Waziri anaweza asifanikiwe sana kuliko MB Kwani atakua limited with the Nation resources to fulfill his plans tatizo ni Uwezo wa nchi sio Mawaziri.