Yaani Ridhwan awe Smart kuliko January!😂JK anatabia ukiwa boya boya anakubwaga kiroho safi, yeye anakuwa innocent kwako.
Amemkuza, amemlea, amemuinstall, its his time to walk by his foot maana JK alijisimika mwenyewe na kujenga ufalme wake.
JM sio smart aliishi kwa mbeleko za watu wa mipango, ujue hata watu wa mipango wanape nda kufanya kazi na mtu smart mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe bila kustukiwa kama ni mipangomipango.
Inawezekana pia kwenye pool yake JK he has a lot of smart dudes, sasa ni wakati wakudeal na wengine wenye uwezo labda wanaweza kumpa upper hand mwanaye Riz 1 ambaye kiakili na usmart yuko vizuri kuliko JM.
ndani ya khost-Afghanistan.
Kwani naye halijarudi?...pe
Na mmemuacha hivi hivi ...! Wabongo?Kachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Kachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Jamaa atakuwa na bifu kali sana na mama.Mama alipokuwa Tanga alisema amemsamehe lakini inaonekana ilikuwa kauli ya mdomoni tu.January hakuwa wakukatwa jina lake mapema hivi.tujifunze kuna leo na kesho Baba alisema wapinzani watabatizwa kwa moto .sasa naona mwanawe ndio labatizwa kwa moto na chama chake.haha haha.Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni
3. > Pre GE2025 - Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!
4. > Pre GE2025 - Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua
Dogo inaonekana wali msnitch Mama pakubwa wakiwa foreign affairs na Makamba.ndio maana Makamba nae jina halijarudi kabisa.Stephen Byabato alikuwa naibu wake kule nishati. Naye ameliwa kichwa.
Wazuri hawafiJamaa atakuwa na bifu kali sana na mama.Mama alipokuwa Tanga alisema amemsamehe lakini inaonekana ilikuwa kauli ya mdomoni tu.January hakuwa wakukatwa jina lake mapema hivi.tujifunze kuna leo na kesho Baba alisema wapinzani watabatizwa kwa moto .sasa naona mwanawe ndio labatizwa kwa moto na chama chake.haha haha.
ata ufanye kwa miaka yote ya uongozi huezi kukaa na bil 500 mtu mmoja bila kuleta hitilafu za uchumi, sometimes acheni siasa za hovyoKwani ni kwa dili moja? Huyu jamaa alinunua nyumba palm island dubai na bei ya sokoni kwa wakati huo ilikuwa zaidi ya billion25
Acha masihara mzee watu walikuwa wanachelewesha kuwalipa Arab contractor ili wadefault riba badae wanaende kuvuta mpunga mwingine bado mwiguluata ufanye kwa miaka yote ya uongozi huezi kukaa na bil 500 mtu mmoja bila kuleta hitilafu za uchumi, sometimes acheni siasa za hovyo
unapenda ubishi sana we mfuasi wa lissu lini, ukichukua all money iliopo kwenye circulation in terms ya cash haifiki ata bil 100Acha masihara mzee watu walikuwa wanachelewesha kuwalipa Arab contractor ili wadefault riba badae wanaende kuvuta mpunga mwingine bado mwigulu
Mimi sijawahi kuwq mfausi hata wa chadema achana na huyo lisu ila jamaa kafanya ufisadi wa kutisha sana pale tanesco acha lile dili alilotaka kulicheza kipindi akiwa waziri wa mambo ya nje ataka wizara ijenge majengo ya bishara Nairobi Kinshasa na kampalaunapenda ubishi sana we mfuasi wa lissu lini, ukichukua all money iliopo kwenye circulation in terms ya cash haifiki ata bil 100
Kwamba Makonda ana plan ama ni asset, hivi hiyo Makonda kuna Muarusha timamu anaweza mchagua? Ni sababu tu CCM itashinda ila ingekua miaka ile ya JK ambapo ubunge ulikua unaamuliwa na wananchi huyo Makonda angepotezwa na Lema mbali sana.
Sema tu January labda alionyesha nia mapema akawaudhi wenye kiti chao ila siasa za Tanzania hazihitaji plan ni kujikomba tu kwa viongozi fulani watakuachia madaraka. Samia alikua na plan gani? Is she an asset to CCM? ila mbona amekua Rais?
🤣🤣🤣🤣Kigogo ananoa Panga sasahivi,makali yanarudi