Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,413
- 2,276
Meneja wa January ni dada yake Mwamvita...so far Vodacom hawajakunusha hii e-mail wala mwamvita mwenyewe wala January
![]()
Na Barrick hawajakanusha pia
Meneja wa January ni dada yake Mwamvita...so far Vodacom hawajakunusha hii e-mail wala mwamvita mwenyewe wala January
![]()
Huyu mdudu CCM sijui atatutoka lini maana wao rushwa ni pete na kidole....na huyu ndiyo waziri mteule wa Kikwete kwa maana nyimnge atavuja baraza hata kabla haya litangaza....Habari nyeti za kiinteligensia zilizovuja kutoka ndani ya Barrick Gold HQ zinasema kuwa, afisa mmoja mwandamizi wa ngazi ya Juu Bw. Rob Krcmarov, amesema kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ya Nishati na Madini Tanzania, January Makamba aliomba USD 5million ili kuzuia uchunguzi dhidi ya mauaji ya wananchi north Mara Tarime. Bwana Rob, aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na kamati maalum ya madini ya Bunge la Canada ambao walipata habari za rushwa iliyotolewa na Barrick. Hawa jamaa walikuwa tayari wamempa USD 2million mheshimwa mbunge, lakini Kiongozi huyo wa bunge akasisitiza kwamba lazima apewe USD 5million (yaani
aongezewe dola milioni 3 zaidi).
Kama mnavyoona, tangu wananchi wauwawe, mbunge huyu amezima juhudi zote za kutaka uchunguzi ufanyike.Cha kushangaza ni kwamba, walikana kuhusika na mauhaji ya Raia huko north Mara. Wanadai walivamiwa na hawajui hao wananchi waliuwawa kivipi.... Hii ni breaking news tutawahabarisheni zaidi, kwani swala la barick limekuwa kaa la moto hapa Canada, na hata Bunge la nchi hii inangilia kati kufanya uchunguzi wake. Tayari viongozi kadhaa waandamizi wa serikali ya tanzania wameshaitwa Canada
Habari nyeti za kiinteligensia zilizovuja kutoka ndani ya Barrick Gold HQ zinasema kuwa, afisa mmoja mwandamizi wa ngazi ya Juu Bw. Rob Krcmarov, amesema kwamba, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Ya Nishati na Madini Tanzania, January Makamba aliomba USD 5million ili kuzuia uchunguzi dhidi ya mauaji ya wananchi north Mara Tarime. Bwana Rob, aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na kamati maalum ya madini ya Bunge la Canada ambao walipata habari za rushwa iliyotolewa na Barrick. Hawa jamaa walikuwa tayari wamempa USD 2million mheshimwa mbunge, lakini Kiongozi huyo wa bunge akasisitiza kwamba lazima apewe USD 5million (yaani
aongezewe dola milioni 3 zaidi).
Kama mnavyoona, tangu wananchi wauwawe, mbunge huyu amezima juhudi zote za kutaka uchunguzi ufanyike.Cha kushangaza ni kwamba, walikana kuhusika na mauhaji ya Raia huko north Mara. Wanadai walivamiwa na hawajui hao wananchi waliuwawa kivipi.... Hii ni breaking news tutawahabarisheni zaidi, kwani swala la barick limekuwa kaa la moto hapa Canada, na hata Bunge la nchi hii inangilia kati kufanya uchunguzi wake. Tayari viongozi kadhaa waandamizi wa serikali ya tanzania wameshaitwa Canada
Mkuu hii habari umesema ni hot cake huko Canada unaweza ukatupa links za news online au popote ili tuweze kupata habari zaidi..?
Thanks in Advance Mkuu