January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Umenishitua sana na madai haya .Kuna barua imetolewa hapa ukumbini? Hebu aliye weka airudishe tuone kama itazuiliwa tena.JF we talk openly we do not only dare mkuu .


mkuu nikweli imefutwa niliisevu najalibu kufunguwa imefutwa (january makamba alifadhiliwa na barrick kuingia bungeni)
 
Moja ya sifa zilizoifanya Jamii Forums kujipatia umaarufu na kujijengea kuaminika sana kwa wananchi ni ujasiri wake wa kufichua maovu bila uoga.Lakini matukio mawili ya hivi karibuni yanaweza kuipunguzia heshima sehemu hii yenye umuhimu mkubwa kwa jamii.

Bila haja ya kuingia kiundani,sidhani kama JF imeweza ku-recover from ile farce ya Shimbo.Hakuna anayefahamu kwa hakika (except wahusika) iwapo JF iliingizwa mkenge au mkwara wa waliotajwa ulifanikiwa kulinyamazisha jukwaa hili.

Tukio la pili,lilijiri jana.Kuna mzalendo mmoja alifanikiwa kupata nakala ya barua inayoelezwa kuwa ilitoka kwa Mwamvita Makamba kwenda kwa mtu mmoja huko Barrick,na kikubwa katika barua hiyo ni suala la fedha ambalo lilihusishwa na ubunge wa kaka yake Mwamvita,yaani January.Haikupita muda thread hiyo ikafutwa (na si kufungwa) pasipo maelezo.Yayumkinika kuhisi kuwa mazingira kama yale ya kwenye ishu ya Shimbo yalijitokeza tena.

Tatizo kubwa linalopelekea uoga huu ni kosa la kiteknikali lililofanywa na watendaji wakuu wa JF kujitambulisha hadharani,na hivyo kujiweka target za wazi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka ya kashfa pindi siri za vigogo flani zinapowekwa hadharani.Ikumbukwe hili ni jukwaa huru (or at least that was what it used to be).Logic ya watu kutotumia majina yao halisi ilikuwa kwenye kujikinga na hawa mafisadi ambao pindi upuuzi wao unapowekwa hadharani wanataka kukimbilia mahakamani kudai fidia.Sasa huwezi kumdai fidia anonymous lakini ni wazi kuwa kufahamika kuwa flani ndio mkurugenzi (au kiognozi) wa JF kunamfanya mwenzetu huyo kuwa liable kwa chochote kile kitakachowekwa hapa na kumgusa mtu fulani.

Sijui kama kuna namna ya kurekebisha hali hii lakini tusipokuwa makini tutashuhudia JF ikigeuka ukumbi wa ku-copy&paste habari za magazetini au kusikia hadithi za watu binafsi.Na kuthibitisha kuwa JF inaweza kuwa inapoteza mvuto wake wa asili,huko Facebook imeshika nafasi ya nyuma ya Facebook group inayojulikana kama Chadema vs CCM.Wakati JF ina memba (huko Facebook) 3533 group hiyo ya Chadema vs CCM ina memba 4043.Ni tofauti ndogo lakini inayoweza kuelezea kitu flani.

Sasa,haina haja ya kulaumiana sana bali ninachosihi ni kwa utawala wa JF kuangalia hatma ya ukumbi huu.Kadri tunavyoelekea uchaguzi mkuu wa 2015 kutakuwa na umafia mwingi unaowahusisha wanasiasa wanaowania madaraka.Wazalendo wenzetu watakaopata fursa ya kuona nyaraka zenye manufaa kwa umma wanaweza kujiuliza mara mbili mbili kama kuna umuhimu wa kutundika nyaraka hizo hapa only for threrad husika kufutwa au kufungwa pasi maelezo.

Is this what we call DARING TO TALK OPENLY?
Umeniwakilisha mkuu! Hii ndio kero kubwa ninayoiona JF siku hz, ikiwemo kufutwa kwa posts zenye ujumbe mzito. JF is no longer the place where we dare to Talk Openly! Saa ingine naona Bora FB watu wanaexpress mawazo yao bila kipingamizi. Mods behave like you used to be before! Msiogope kitu! wala mdudu yeyote dunia hii! Anayepaswa kuogopwa ni mungu tu! Si Makamba Family wa mpuuzi yeyote! (Naomba msiifute please!)
 
tatizo la JF ni base yake... iko nyumbani, kwahiyo they are prone to abuse, torture na hata physical intervention simply because Tanzania bado haijafikia uhuru na demokrasia kama tunavyodhani
 
mkuu nikweli imefutwa niliisevu najalibu kufunguwa imefutwa (january makamba alifadhiliwa na barrick kuingia bungeni)

mkuu kama ipo hebu itundikeni tena make kunandugu yangu mmoja alinisitua kuwa kuna mada kaichungulie! ile nafika sikuikuta!
 
mkuu nikweli imefutwa niliisevu najalibu kufunguwa imefutwa (january makamba alifadhiliwa na barrick kuingia bungeni)

siku nyingine ukiona issue ya maana hapa jf ikopi kabisa ili wakiichomoa unakuwa nayo mfano ile video ya kikwete akiaguka iliondolewa kule youtube lakini wajanja walishainyonya..hivyo basi ukiona kitu mhimu kihifadhi
 
mkuu kama ipo hebu itundikeni tena make kunandugu yangu mmoja alinisitua kuwa kuna mada kaichungulie! ile nafika sikuikuta!

Mkuu sina nilisoma nakusevu nimejifunza ukiona kitu muhim ni kusikani jf imeanza kujishushia hadhi hofu pesa yuda alimsaliti yesu hawa mafisadi wananguvu ya ajabu inawezekana jf imemilikiwa tayali kwa mwenendo huu ninauhakika atahii itafutwa muda wowote au kupigwa bani
 
Me sio wa siku mingi sana, ila kilichonifanya niuache ugeni nichukue membership kabisa ni ujasiri na weupe ulokuwepo kwenye threads, but saa hii inakuwa tofauti kabisa..
Jamaa kuna nini
 
Jamani hiyo thread ya hongo ya mabano jaman iliyompeleka Jm mjengoni mbona siioni?
 
Wakuu

Ile post ya email iliyovuja iliyoandikwa na Mwamvita Makamba, kwenda kwa "mume" wake huko BARRICK, ikimkumbushia suala la kumchangia kaka yake January, dola milioni moja, nini hatma yake?

Je, ukweli umedhihirika au? Maana ile post ilihamishwa na sijui ilikopelekwa.

Mwenye taarifa anipatie tafadhali. Asanteni.
 
Mwamvita Makamba alituma email kwa bwana wake ambaye ni bosi wa Barrick Gold, tarehe 17/03/2010 saa 18:33

Email inasema"Following our conversation,i can assure you that arrangement have been made for you and your team to meet H.E the president,prime minister and other high ranking officials. Thank you to mr January Makamba and Hon. Rostam. These two guys are the greatest and infact, mr January is the most trusted president's right hand man.

I also believe that, you will be following through with the promise to wire the pledged fund Mr January needs for his upcoming campaign. I will be managing the funds, so trust me the money will be well spent. He really needs the help...this is an investment...lol..You must do that for me baby,remember you are investing in your future minister of Mineral and brother in law...

We will be providing the bank account in which the half of the funds ($ 1 ml) will be deposited as well as the other half at a later date. Love Mwammy"
 
Give us a source of this information, anyone can create that!
 
Mwamvita Makamba alituma email kwa bwana wake ambaye ni bosi wa Barrick Gold, tarehe 17/03/2010 saa 18:33
Email inasema"Following our conversation,i can assure you that arrangement have been made for you and your team to meet H.E the president,prime minister and other high ranking officials. Thank you to mr January Makamba and Hon. Rostam. These two guys are the greatest and infact, mr January is the most trusted president's right hand man. I also believe that, you will be following through with the promise to wire the pledged fund Mr January needs for his upcoming campaign. I will be managing the funds, so trust me the money will be well spent. He really needs the help...this is an investment...lol..You must do that for me baby,remember you are investing in your future minister of Mineral and brother in law...We will be providing the bank account in which the half of the funds ($ 1 ml) will be deposited as well as the other half at a later date. Love Mwammy"

mkuu ilishongelewa jamvini mpaka basi pitia post za nyuma mkuu..
 
Hii habari ni ya kweli ndugu zangu. Hiyo email hata mimi nimeipata, ngoja nifanye utaratibu ya kuiweka hapa through scanning.
 
Jamani hii ilikuwepo kama sikosei jumamosi au jumapili pamoja na attachment ya hiyo e mail lakini iliondolewa ghafla.
 
Inaonekana ni ya kipindi kile kabla ya uchaguzi sio? Maana kwa sasa uchguzi wa level ya January bado kabisa and is unlikely hizo fund kuhitajika kwa sasa! Sikuielewa, Ndeticha asante kwa kuniweka sawa maana hata kama ni genuine, bado kuna elements zilizokuwa zina utata kuiona kama ni news. But it remains to be a scandal, kama ilikuwa na reliable sources!
 
TUMBIRI, Angalia usile Ban! Maana inaonekana Mod alikuwa anacheza nayo kila inapoibuka!
 
Give us a source of this information, anyone can create that!
hii kitu bado ni genuine despite all efforts to cover it up

they say innocent untill proven guilty, but efforts to cover up things such as deleting threads, PMs, threats etc.... may just tell there is something burning and the truth behind it

huwezi kunyatia mkeo, wala huwezi kufunika kombe kama hakuna tatizo

think about it
 
Back
Top Bottom