mlenda na kachumbari wapi na wapi..au anatibu tezi dume!!?mshana jr huo msosi ni mtamu balaa
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Kumbe ndo ulivyoipokea xmas! hongera ndo ukaamua kuvua na miwani! una chembechembe za uchochezi mweshimiwa kasema kwa namna yoyote usiseme vyum.. ka .. za.. we umetumia utenzi!,nafikiri mwalimu wako wa mapishi alikuwa hodari kwa uchochezi si kwa kachumbali hilo lenye kunipa kihoro la tafrija mdomoni!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]
Alisema kazi yake ni "Kutia kidole tu" akiona mahali inafaa Kutia yeye anatia!! Bunge ndiyo inapitisha sheria na yeye anaweka tu kidole (signature) kwa hiyo usilaumu yeye kuweka kidole mahali yoyote maanna Bunge ndio limesema aweke kidole!! Hahaaaa!what a president!!Msijelaum serikaliView attachment 976341
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke kule mombasaAlisema kazi yake ni "Kutia kidole tu" akiona mahali inafaa Kutia yeye anatia!! Bunge ndiyo inapitisha sheria na yeye anaweka tu kidole (signature) kwa hiyo usilaumu yeye kuweka kidole mahali yoyote maanna Bunge ndio limesema aweke kidole!! Hahaaaa!what a president!!
Kuna mahali inafaa kutia kidole huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke kule mombasa