Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,681
JM ...Nakufagilia mwane wane..kuna mzungu mmoja aliingia kwenye anga zako ukampa kubwa japo stori yenyewe siijui vizuri ila nilifurahi sana.. hawa wazungu ni wabaguzi sana ukiwa kwao huko.
Na mzungu akikupa dili lolote ujue ashaona kuna maslahi hata kama ni msaada ujue yeye anakula zaidi yako....watanzania wengi wanaosujudia wazungu ni wale ambao hawana exposure (shame to them)
...na nakuomba mzungu mwingine akiingia kwenye anga zako usiogope mtu kwani upo kwenye nchi yako na unalinda rasilimali za nchi yako.
kudos!!! ...kama huna exposure usije ukanipinga bora ukae kimya: