Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,314
Hata wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao na sio mchuma Janga hupelekea wengine wakale...; Ni mengi yalikuwa yakitokea na tuliyaona tangia kitambo; Impunity, Ufisadi, Ufujaji na sio tu kutokujua kula na vipofu bali watu walikuwa mpaka wanawatemea mate let alone kutokuwashika mkono...
Sasa tunaambiwa kwamba mambo yatakuwa magumu na itabidi tutafute pesa wenyewe kwenye kutembeza bakuli hakuna tena...; By the way kwanini tulikopa willy nilly ? Hata kabla watu tulishauliza hapa kitambo...
Na tukaenda mbali zaidi tukauliza....
Sababu kama kutafuta pengine inamaanisha kuongeza matozo na kuwakamua hawa watu ambao mpaka dakika hii wanapumulia mashine ni Kuendelea Kuchuma Janga na hili Janga litakalokuja huenda na Wachumaji pia likawakumba...; Tutumie Busara sababu as thing goes tunaharibiana Nchi....

Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo...
Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki
Serikali Inavyopata Pesa za Matumizi / Miradi
Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki
- Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala haipo ukizungusha huko kitaa unakiwarudishia unakuwa umeongeza pesa kwenye mzunguko kwa kurudisha kile ulichopewa na interest (faida) ya benki.
Serikali Inavyopata Pesa za Matumizi / Miradi
- Tofauti na ile ya kukopa moja kwa moja kama sisi wadau wa mtaani ambayo Riba...
- Logikos
- inaweza kuendesha kutengeneza kutengeneza pesa miradi pesa serikali wakati
- Replies: 1
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Na tukaenda mbali zaidi tukauliza....
Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na hivyo kuweka rehani ustawi wa jamii yetu. Matumizi hayo ni kama ifuatavyo
Huduma za Matibabu za Watumishi wetu tunaowalipa, ili watutengenezee Huduma ila wao wanakwenda Nje kutibiwa
Sina tatizo kabisa na mtu binafsi hata akiamua achume pesa zake nchini na kuamua kabisa kuishi popote anapotaka...

- fedha fedha za kigeni matumizi matumizi ya fedha serikali
- Replies: 6
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Sababu kama kutafuta pengine inamaanisha kuongeza matozo na kuwakamua hawa watu ambao mpaka dakika hii wanapumulia mashine ni Kuendelea Kuchuma Janga na hili Janga litakalokuja huenda na Wachumaji pia likawakumba...; Tutumie Busara sababu as thing goes tunaharibiana Nchi....
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji (ukizingatia hata zile huduma za elimu na afya zimekuwa biashara).
Hivyo tutakuwa hatumtakii mema mwananchi huyu hata kile ambacho hakitoshi bado tutakichukua kwa Matozo, na kama hio haitoshi zile huduma zote ambazo ni muhimu bado tukampa kwa gharama isiyo ya lazima.
Hivyo hapa taongelea sekta chache...

- matumizi mwananchi ustawi wa jamii
- Replies: 4
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko