imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,039
Mkuu lawama msiwe mnashushia Madereva tu TANROADS ndio wanatakiwa walaumiwe sana Ukitoka Dumila kuelekea Gairo kuna kurabati unaendelea wanaweka Mapipa Barabarani bila Ishara yoyoteKuna sehemu za barabara matukio ya ajali huwa yanajirudia rudia mara nyingi
Halafu wanatoa kazi kwa Wakandarasi wababaishaji unakuta Pothole imezibwa imekuwa kama kichuguu.