computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 2,900
- 4,183
Umeandika useng****Ndio dhana ya kufungua nchi. Ina apply kotekote. Enzi za Chuma ajali ziliishaanza kuwa historia. Sasa tunafungua nchi. Yaliyokuwa yamezuiliwa sasa yanarudi.
Umeandika useng****Ndio dhana ya kufungua nchi. Ina apply kotekote. Enzi za Chuma ajali ziliishaanza kuwa historia. Sasa tunafungua nchi. Yaliyokuwa yamezuiliwa sasa yanarudi.
Ila mamaako ame like with love!Umeandika useng****
Mawazo kama haya ukiyaendekeza bro utakuja ufe maskini wanao waje kukutukana pale wakiona watoto za waliotumia akili na juhudi zao wakifurahia maisha.Hapo ukitega li ndagu lako barabarani lazima uwe tajiri
Minoti kama yote ina miminika
Au nasema uongo nyie watu wa ule mkoa ?
Ajali SIO kazi ya Mungu it's someone Fault, barabara zetu bado sana tena sana,alama za usalama barabarani almost hakuna kabisa,hii T1 alama zake hazionekani kabisa hasa usiku, vibao vya umbali kati ya miji hakuna kabisa, ufinyu wake na magari mengi hayana sifa ya kuwa barabarani, trunks nyingi hazina kabisa tailing lights, pls waziri wangu wa mawasiliano fanya road trips ndani ya Zambia, Botswana na Namibia (usifike SA maana utaruka kichaa)angalia wenzetu walivyojenga hizi freeways zao.
... uko sahihi. Usijaribu ku-overtake milori kizembe; siku hizi yana spidi sana.Tatizo ni barabara vinyu, siku hizi magari mengi mapya...
Barabara zimechimbwa na kuachwa hivo hivo
Kuna uwekezaji mkubwa unafanywa siyo kwa lengo la kudhibiti ajali lengo ni makusanyo na 10% kwenye procurementWatu wanakufa, wengi wanabaki vilema, watoto wanabaki yatima kwa ajali za barabarani ambazo zimekuwa nyingi sana kwenye nchi hii.
Ni kama vile watu wamekuwa sugu kwa hizi ajali sasa. Katika nchi zilizoendelea ikitokea watu 20 au 10 wamekufa mara 2 au 3 ndani ya mwaka mmoja kwa mpigo kwa chanzo kile kile kimoja basi Rais, wabunge, wanaharakati lazima wajitokeze na hata maandamano makubwa kutaka uwajibikaji. Hapa kwetu salamu za rambirambi tu zitatumwa na itakuwa kama siku kama siku nyingine baada ya ajali iliyoua watu 15 au 20.
Haya mambo matatu angalau tuanze nayo:
1. Iundwe WIZARA ya Usalama wa raia kusimamia polisi na kazi zao. Kuwachanganya polisi na RITA, uhamiaji, magereza, vitambulisho n.k kunafifisha sana usimamizi wa utendaji wao.
2. Iundwe mamlaka ya usimamizi na usalama BARABARANI inayojitegemea kwa ajili ya kupendekeza sera na sheria, kuweka miongozo na kushirikiana na polisi kusimamia leseni za wasafirashaji barabarani.
3. Mawaziri wa uchukuzi na mambo ya ndani kwa sasa wawajibishwe mpaka hayo mawili hapo juu yatakapofanyiwa kazi. Hawa mawaziri wawili kama hawawezi kuja na mikakati ya muda mfupi na mrefu kutatua janga la ajali basi hawafai, hawatoshi na hivyo waondolewe haraka na wakija wengine wakishimdwa nao waondolewe pia.
Maisha yetu raia yanahitaji kupewa uthamani stahiki na wale wanaolipwa kwa kodi zetu kwa kazi hiyo kuhakikisha yanakuwa salama muda wote.
... nakubaliana na wewe ulimbukeni na kutozingatia sheria ni sehemu ya tatizo ila miundombinu pia inachangia. Kwa mfano, zamani hapakuwa na bodaboda wala babajaji, etc.Tatizo sio miundo mbinu wala nini kwanini zamani kulikuwa hakuna barabara nzuri kama hizi leo ila ajari hazikuwa kama sasa, Tatizo ni ulimbukeni wa vyombo vya usafiri wengine mafunzo duni then wanajifanya madereva konk lakini pia abiria kutokemea miendo kasi ya madereva wao! watu wapewe elimu sana la sivyo ardhi iendelee kunywa tu!
... nakubaliana na wewe ulimbukeni na kutozingatia sheria ni sehemu ya tatizo ila miundombinu pia inachangia. Kwa mfano, zamani hapakuwa na bodaboda wala babajaji, etc.
Miundombinu iliyopo haikuzingatia uwepo wa hivyo vyombo. Mfano rahisi ni mijini na sehemu zenye vimji; je, bodaboda kwao ni ruksa kupita katikati, kushoto, kulia kwa magari? Kulitakiwa kuwe na miundombinu ya ku-accommodate hivyo vyombo.
... kichekesho ni pamoja na Dar es Salaam. Waliondoa daladala na vipanya kuingia katikati ya mji kwa kisingizio vinasababisha foleni na capacity yake ni ndogo.Sielewei kwa nini serikali wanaruhusu Bajaji hadi barabara kuu. Mkoa kama Mbeya bajaji zimejaa barabara kuu ya Mbeya-Tunduma zinapishana na malori ya makubwa ya mizigo, na mabasi ya abiria yaliyo kasi sana huku barabara yenyewe iko na matuta kama msuko wa twende kilioni!
Suluhisho ni reli SGR ikikamilika mpaka Isaka malori yatapungua kiasi ila itategemea utashi wa kiongozi mkuu wa nchi vinginevyo itakua km TAZARA ilivokufa kifo cha MendeSielewei kwa nini serikali wanaruhusu Bajaji hadi barabara kuu. Mkoa kama Mbeya bajaji zimejaa barabara kuu ya Mbeya-Tunduma zinapishana na malori ya makubwa ya mizigo, na mabasi ya abiria yaliyo kasi sana huku barabara yenyewe iko na matuta kama msuko wa twende kilioni!
Mimi tayari nilishakufa mkuu huu ni mzimu ndio una komentiMawazo kama haya ukiyaendekeza bro utakuja ufe maskini wanao waje kukutukana pale wakiona watoto za waliotumia akili na juhudi zao wakifurahia maisha.
Umeongea ukweliTatizo sio miundo mbinu wala nini kwanini zamani kulikuwa hakuna barabara nzuri kama hizi leo ila ajari hazikuwa kama sasa, Tatizo ni ulimbukeni wa vyombo vya usafiri wengine mafunzo duni then wanajifanya madereva konk lakini pia abiria kutokemea miendo kasi ya madereva wao! watu wapewe elimu sana la sivyo ardhi iendelee kunywa tu!
Suluhisho ni reli SGR ikikamilika mpaka Isaka malori yatapungua kiasi ila itategemea utashi wa kiongozi mkuu wa nchi vinginevyo itakua km TAZARA ilivokufa kifo cha Mende
Hivi hawa wakipatwa na ajali kuna kulaumu kweli....
Acha watu wazidi kujifanya vichaa huku wakifa kama inzi
Yoda
Ova
View attachment 2292828