Yaani nchi inaongozwa na chizi!!..acha wakamuoneshe uchiziHuyu kwa ufupi anasema "NO REFORMS NO ELECTION.
Na anasema Samia ni chizi. Kwa kauli hii, huyu sasa ndiyo mhaini.
Alikuws Diwani wetu hapa Kunduchi enzi za mbunge Ritha Mlaki 😁😁🇹🇿Sio kwamba huyu ndio kachanganyikiwa?
By the way ni lini wanawake wakachaguana? Wanaume ndio tutamchagua na hivyo bibi amekazidi uzuri basi ndio kubinua midomo kutazidi 😁😁
Tukubaliane kama mnapenda siasa basi ziwe fair kwa wote sio mmoja anaruhusiwa kuwararua wenzie yeye hataki kuguswa.Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wavamia Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025
"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"
"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"
"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."
Tayari,yupo mikononi mwa polisiUtasikia kapewa kesi ama kavamiwa na wahuni wa watawala na kumbaka na vipigo juu!!
Zitto ataambiwa muondoe huyo, anamshambulia mfadhili wa Chama!!
Kusema mwenzake anaonekana kachanganyikiwa ndio unaona ni mhaini...hii mentality ndio inatupaka waTanzania wengi matope.Kama wewe humwoni Mh Rais katika hali hiyo ,una Haki ya kusema kuwa Mh Rais hajachanganyikiwa na utakuwa hujavunja Sheria yoyote.Huyu kwa ufupi anasema "NO REFORMS NO ELECTION.
Na anasema Samia ni chizi. Kwa kauli hii, huyu sasa ndiyo mhaini.
Unatoa.maagizo ukiwa kama nani Fala weweAkamatwe haraka sana
kwamba amechang..wa?Naunga mkono hoja