PreGE2025 Janeth Rithe: Wanawake msimchague tena Rais Samia, haoni dira mbele yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inasikitisha sana
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".

Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025

"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"

"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"

"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."

"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"

"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"

"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.

"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"

Tunapodai haki, uhuru na demokrasia ni vyema tukatekeleza wajibu wetu wa kufanya siasa za kiugwana kwanza. Unaposema "msiamchague rais amechanganyikiwa" hivi ukiulizwa uthibitishe kuchanganyikiwa kwa rais utaweza? Kuchanganyikiwa ni neno la kitiba, ni daktari wake tu ndio anaweza kuthibitisha rais yupo kwenye "acute confusion state" ambaye ww siye. Ukichukuliwa hatua utasema CCM wanaminya demokrasia.
 
Hasa hapo kwenye uchumi wa Tanzania na marekani. Mwenyekiti ana hoja asikilizwe
Ni muhimu kutofautisha kati ya ukuaji wa uchumi (growth rate) na ukubwa wa uchumi (economic size). Tanzania kuwa na GDP growth ya 6% siyo dalili ya udhaifu, bali inaonyesha juhudi za kupanua uchumi wake. Mataifa yaliyoendelea huwa na ukuaji mdogo kwa sababu tayari yako juu sana kiuchumi—hivyo hata ongezeko dogo lina uzito mkubwa.

Kauli ya Rais Samia haikupotosha, bali ilionyesha mafanikio ya mwelekeo wa kiuchumi wa nchi. Ni kawaida kwa nchi zinazoendelea kuwa na kasi kubwa ya ukuaji, na hilo halipaswi kubezwa bali kuimarishwa zaidi kwa sera na usimamizi bora wa rasilimali. Tuwape heshima wataalamu wetu walioko serikalini na tujadili hoja kwa msingi, si kwa dhihaka.
 
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".

Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025

"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"

"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"

"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."

"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"

"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"

"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.

"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"

SAHIHI. Samia amechanganyikiwa, mtu timamu hawezi KUROPOKA kwamba Tanzania inaizidi uchumi Marekani.
 
Utasikia kapewa kesi ama kavamiwa na wahuni wa watawala na kumbaka na vipigo juu!!
Si bora avamiwe na wahuni. Utakujasikia report ya Polisi ikisema "Alikuwa akiwakimbia Geshi lilioenda kupeleleza kuhusu madeni anayodaiwa, baada ya kuwatoroka Polisi, akaenda kwenye jumba bovu ambapo aliwakawakuta vijana waliokuwa wametulia wakijivutia bangi zao akawabaka kikatili, ndipo Geshi liliposikia kelele hizo na kwenda kuwaokoa vijana hao lakini wakakuta sada huyo ameshawabaka na kutoroka. Geshi bado linaendelea na jitihada za kumtafuta"
 
Kwa madhila haya kila anaekuongelea vibaya anakamatwa ataweza kampeni?
 
Nimegundua wakati mwingine sio ushungi anahusika direct kushughulikia watu...ni machawa ya kipolisi tu..kujipendekeza.
Samia alikuwa simiyu.

Police inawahusu nini...Lugha za kwenye kampeni..kuna uhalifu gani hapo.
Mwaka 2010 pale Temeke kada mmoja wa Chadema aliwahi kusema hadharani
"Rais Kikwete hana adabu" lakini yalipita..
 
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".

Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025

"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"

"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"

"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."

"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"

"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"

"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.

"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"

Hoja yake ina mashiko, asipuuzwe hata kidogo.
Kuna Ukweli mchungu Sana kwenye suala hili
 
Daa! Hii sasa kiboko asee, au ndo ile wanasema dawa ya moto ni moto, dawa ya ke ni ke maana so kwa kufunguka huko.
 
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".

Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025

"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"

"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"

"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."

"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"

"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"

"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.

"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"

HUYU CHAMA CHAKE WAMESHAMWITA BILA SHAKA KUMWONYA.
 
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".

Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025

"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"

"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"

"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."

"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"

"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayoyapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"

"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.

"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kuna freedom of speech, lakini siyo kutoa maneno ya matusi. Je, anaweza kuthibitisha kuchanganikiwa kwa rais?

Sheria ichukue mkondo wake tu.
 
Y

Sheria ichukue mkondo wak
Tunapodai haki ya uhuru wa demokrasia ni vyema tukateleza wajibu wetu wa kufanya siasa za kiugwana kwanza. Unaposema "msiamchague rais amechanganyikiwa" hivi ukiulizwa uthibitishe kuchanganyikiwa kwa rais utaweza? Kuchanganyikiwa ni neno la kitiba, ni daktari wake tu ndio anaweza kuthibitisha rais yupo kwenye "acute confusion state" ambaye ww siye. Ukichukuliwa hatua utasema CCM wanaminya demokrasia.
Yaani nyie ma ng'ombe,mnataka watu wawalape nyapu zenu? hivi nshaWai kuangalia campaigns katika civilized world? Raisi raisi raisi ndo Nini, yaani kuwa kiongozi wa ka nchi kenye GDP inayozidiwa na state of Ohio, ndo unatubwatukia,
 
Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kuna freedom of speech, lakini siyo kutoa maneno ya matusi. Je, anaweza kuthibitisha kuchanganikiwa kwa rais?

Sheria ichukue mkondo wake tu.
Sasa anayesema kaizidi Marekani kiuchumi huku vyoo vya shimo vya shule zote Nchini mwake vimefurika kinyesi, unadhani ni mzima huyo?
 
Dah nimesikia wivu sana kwa mwanaume ambaye Yuko na huyo mwanamke ..wanawake majasiri wa hivyo ni nadra sana kuwapata ama kuwaona hapa Tanzania ..
 
Back
Top Bottom