Jane Tu Ze Hat of Jf

Jane Tu Ze Hat of Jf

Mwali mbona unauliza swali gumu kwa mtu aisee.....
Dah au ndo akufukuzaye?
Bombardier, mi nimekua mwali kwa kipindi kirefu sasa,
Hilo swali najua haliji peke yake, nilikua namrahisishia tu.
 
Nadhani nina indicator zote kuwa mi mgeni huku,
hata hivyo nina kauzoefu ila katika safari yangu nimeona mengi machache ni kuhusu baadhi tu ya members;
PAKA JIMMY -siju ndugu yake pakashume? anyway mi naona limekaa kiwiziwizi(respect mkuu m jst thinking loud)..THE BOSS - huyu jamaa avatar na jina vina
sura ya kazi kiasi kwamba nikiona tu napata picha ya bosi akisema."Is this what I am paying you for? get back to work!!"nafunga jf fasta!
Babu DC - Na hivi gharama za umeme zilivyopanda, Ze citi iz getingi darker. Are you really that fat?
MTAMBUZI - huyu jamaa kwa kusomasoma post zake
naona ni mwanasheria anyway mkuu nomba msaada wako kisheria kwa sababu nataka nimshtaki Rose1980 nna ushahidi kwamba kanikonyeza na c mara moja, kila nikija humu.
Ndyoko-huyu jamaa alikuwa na avatar ambayo nikisoma post zake nascroll niifiche coz napata hisia mi ndo nakunywa hiyo makitu...
Kipipi-nna wasiwasi kuwa ni mwanaharakati (I ddnt say anything!)
Catalisia- Canta what?
Mwali- ushaposwa bibie?
Kongosho - is he a she or is she a he?
Mimi ni PetCash nikimaanisha cash ndogondogo kama nauli za daladala(siyo za mwenge posta buku lakini), vocha za jero, Ice cream za azam, maji ya uhai na azam cola, kwenda
coco/kawe beach kujipumzisha hazinipigi chenga...ila najitahidi kuiga maujanja toka kwa MPAMBANAJI.COM ili niwe na hela ndefu kama za kina maprosoo

NA wengineo bado nasafiri. SAFARI YAKO IKOJE?
una akili sana wewe......
 
I thought it is that book thang labda... Kuna mtu siku moja alikuwa anakuuliza kama umemaliza kukiandaa..

I wish. . .
Haven't really been that focused lately. . . labda nianze sasa hivi.
 
Ongea na Uncle wangu anaitwa Kaizer.
Ukimkosa acha barua kwa Anti AshaDii.
Wenyewe watanifikishia habari, na watakuletea jibu.
PS: Usimsikilize Scofield, na yeye yuko kwenye list.

Ntaongea na AshaDii natumai atanielewa manake huko Ushango Mabaoni kwanitisha! Ila sina ujanja itabidi nije....Huyu michael scofield mwache ntamfanyia zengwe arudi gerezani ili tuende sawa, manake naona kama kanizidi sana....
 
We Bishanga utajasutwa wewe. . . .!!!


Alafu unaongezewa na kipondo juu.
Halafu wewe,hivi inakuwaje hako kangedere kako kila kakitoka kivingeni na wewe huyo unadandia treni,huwa unajuaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom