Jane Tu Ze Hat of Jf

Jane Tu Ze Hat of Jf

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
Nadhani nina indicator zote kuwa mi mgeni huku,
hata hivyo nina kauzoefu ila katika safari yangu nimeona mengi machache ni kuhusu baadhi tu ya members;
PAKA JIMMY -sijui ndugu yake pakashume? anyway mi naona limekaa kiwiziwizi(respect mkuu m jst thinking loud)..THE BOSS - huyu jamaa avatar na jina vina
sura ya kazi kiasi kwamba nikiona tu napata picha ya bosi akisema."Is this what I am paying you for? get back to work!!"nafunga jf fasta!
Babu DC - Na hivi gharama za umeme zilivyopanda, Ze citi iz getingi darker. Are you really that fat?
MTAMBUZI - huyu jamaa kwa kusomasoma post zake
naona ni mwanasheria anyway mkuu nomba msaada wako kisheria kwa sababu nataka nimshtaki Rose1980 nna ushahidi kwamba kanikonyeza na c mara moja, kila nikija humu.
Ndyoko-huyu jamaa alikuwa na avatar ambayo nikisoma post zake nascroll niifiche coz napata hisia mi ndo nakunywa hiyo makitu...
Kipipi-nna wasiwasi kuwa ni mwanaharakati (I ddnt say anything!)
Cantalisia- Canta what?
Mwali- ushaposwa bibie?
Kongosho - is he a she or is she a he?
Mimi ni PetCash nikimaanisha cash ndogondogo kama nauli za daladala(siyo za mwenge posta buku lakini), vocha za jero, Ice cream za azam, maji ya uhai na azam cola, kwenda
coco/kawe beach kujipumzisha hazinipigi chenga...ila najitahidi kuiga maujanja toka kwa MPAMBANAJI.COM ili niwe na hela ndefu kama za kina maprosoo

NA wengineo bado nasafiri. SAFARI YAKO IKOJE?
 
Lizzy, when are you ever going to get out of that pool? we have something in common though-we like water!
kwahiyo wewe na Lizzy ni mabata? i mean madogo madogo yanayopenda kuogelea!
 
Mitizamo safi sana....
Hope wengi wana mitizamo either inafanana na yako au tofauti ndooogo sana
 
Lizzy, when are you ever going to get out of that pool? we have something in common though-we like water!

Ohhhh do we now?

Nat any time soon. . .it's nice and cool down here!!
 
Nope, my voice will be like a sweet song to your ears...trust me- your wont regret...:wink2:
 
Mimi niliwaza tu kama kwa kipindi chote hiki we bado mwali, haitakuwa mbaya tukikufanyia mpango wa posa atii!
Mkimfanyia na nani maana anatakiwa mmoja tu coz hawezi kuolewa na wawili....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom