Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Siku moja bwana, nimetulia zangu pub flani Mikocheni nakata maji ikaingia simu. We shori uko wapi party inabamba mbona huonekani? dah party yenyewe nilikuwa naipotezea ki aina ila sasa nikaona soo manake mpaka simu? Nilikuwa naipotezea kwa sababu with house parties I always feel like am treading on egg shells, plus you never know who the other guests might be. Anyway nilikuwa nimebeba rolls kadhaa so hata ningeboreka bwana ningejilipua na bange zangu niwe na praivate party yangu upstairs in my mind. kwani nini?Haya basi, nikaaza safari yaangu nikaingia mitaa ya Tanesco mpaka Beach ndio nyumba ilikuwepo.
Nikaingia kimya kimya ila wapi? Ma boys walishalewa so wakaona huo ndio muda muafaka wa kunibeba juu kunifanyia ma intro-how embarassing. this right here is the baddest chick on the block, she smoke weed like there is no tomorrow, and she is the last one out when we are toasting. khaaaaaaaa. anyway, twasnt so bad...... we had fun.
It was past midnight na tulikwa tunaenjoy sanaaaaa. sasa nikaamua kwenda kukaa beach kuvuta kitu yangu..... I went nikawa navuta taratibu huku nawacheka wanaoswim. sasa bwana kuna jamaa mmoja alikuja tukawa tunatia story. Hey whats that? nikamwambia this right here my friend is the key to the kingdom. akasema no shit nikamwambia sure. akasema grant me entry nikampa roll nikamwambia hii hapa vuta ila moshi usiutoe nje kama sigara. na usi exhale fasta, sikilizia utamu.kweli bwana, jamaa akafata instruction manual nilipoona msohi unatokea puani nikawmabia yesss inaingia hiyo. akanipa 5.Nikaona tunaenda sawa nikampa roll ingine fresh ajipe raha, kwani nini.
Kuna wenzetu walikuwa beach wanaogelea and it seemed like so much fun, I really wanted to hop in but kama baadae ningeamua kwenda club ingekuwa soo with no extra set of clothes. Sasa bwana Tanesco kama walivyo wakakata umeme, kukawa hamna music wala lights.
Ma boys wakaanza kuunga generator na sisi tukawa tunaenjoy kama kawaida huku tumewasha bonge la bonfire. mara tukasikia kelele za help helppppp.mh! wenzangu ndio kwanza wanashangilia umeme kurudi. kidogo wakaja wasichana ambao hawakuwa kwenye party yetu wakiwa uchiiii kama walivyozaliwa.
Hapo hamna aliekuwa sober na badala tuwaulize kulikoni ma boys ndio kwanzaaaaaa wakawa wanashangilia here come the striperssss. na yule nilokuwa navuta nae boza beach akaja akiwa ameshika pipe akaanza kunivuta akaniuliza is it the end of the world? nikamuuliza wtf? akaniambia stars are falling on me. huku analia wajameni. nikampeleka jikoni fasta nikampa soda ya cocacola, apate kitu cha sukari bange imemwendea kwingine jamani. Nilikuwa nasikia harufu ya petroli lakini mpaka hapo sikuwa nime click imetoka wapi. nikarudi kwa wale wadada.
wadada wa watu jamani wanalia, buddies huku wanaawaambia show us what yo mama gave you. lo? Mi nikaingilia kati wakaniambia we have been carjacked.Ile kusikia hivyo tu!! utafikiri bomu lililipuka. kila mwenye gari aliruka kwenye gari yake na watu wakaanza ku drive in all directions, wenye nyumba sijui walijifungia, mie nae nilidandia gari na kusepa. Mie nikajua labda tunaenda polisi? tulienda club.
pata picha tumeingia club na nguo zilizorowana na nywele zimejaa michanga......kudaaadeki. Kuja kukutana kesho yake ndio nikagundua kuwa yule best alikuwa ameona eti stimu za bange hazitoshi akaamua kuvuta na petroli, matokeo yake akawa anaona nyota zinaanguka. Wale wadada waliibiwa gari kweli, na walishapelekwa polisi wakaripoti tukio baada ya kupewa madera ya kujistiri. kuna mabest walipata
ajali katika mishe mishe za kusepa pale beach ila hawakuumia sana.As for me, just another page from my diary.