Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

1. Weka kisu chini ya mto
2. Weka mfupa wa [emoji200] [emoji201] chini ya mto
3. Weka kipande cha mkaa chini ya mto
Nimekua nikiskia tu kwamba hizo mambo/moja kati ya hizo husidia
Mkuu dawa ya mchawi ni Mwenyezi Mungu/Allah, muombe kwa imani, hakika utaona mafanikio kwenye maisha yako. Kila jambo unalofanya ukimtanguliza Mwenyezi Mungu, huwezi kupata matatizo yoyote kama washirikina, mikosi, n.k. Hakika Mwenyezi Mungu ndie muweza wa yote.
 
Sawa mkuu
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr

SHETANIA ANAPENDWA KWELI KUTUKANWA MAANA NI NAMNA RAHISI YA YEYE KUPATA TICKET YA KUKUFIKIA
 
hata ukiacha taa inawaka ni suluhisho mana mchawi na mwanga havipatani ila yote tisa, kumi MAOMBI ndo mambo yote.
 
Na leo tunakuja tena, leo tunakumwagia pipa zima la lami
 
1. Weka kisu chini ya mto
2. Weka mfupa wa [emoji200] [emoji201] chini ya mto
3. Weka kipande cha mkaa chini ya mto
Nimekua nikiskia tu kwamba hizo mambo/moja kati ya hizo husidia
Umekua ukisikia tu zinasaidia.. Kwani hujawahi vamiwa na wachawi?
 
Mtoto wako kama wa kiume ujue anatest mitambo kama wa kike mtafute oil chafu
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
 
Pole sana ndugu yangu. Wanga wapo na ni mawakala wa shetani. Bila kujali imani yako ya dini, nakushauri uwe na utaratibu wa kusali pamoja kabla ya kulala. Na muhimu pia uwe na maji ya baraka ndani na chumvi iliyobarikiwa. Baada ya kusali, nyunyiza maji ya baraka na kukemea wanga na pepo wachafu. Hata kama huamini, jaribu tu utaona matokeo chanya. Mungu akulinde wewe na nyumba yako
Umenena mkuu, Ubarikiwe sana, umeeleza vizuri!
 
Niruhusu nilale na mkeo usiku mmoja tu,nimpake dawa sehemu zake nyeti,kamwe hutoona mchawi wala mwanga atakayekatiza anga lako.
Sihitaji pesa wala mbuzi,kwa mujibu wa mizimu.
 
Back
Top Bottom