Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

1. Weka kisu chini ya mto
2. Weka mfupa wa [emoji200] [emoji201] chini ya mto
3. Weka kipande cha mkaa chini ya mto
Nimekua nikiskia tu kwamba hizo mambo/moja kati ya hizo husidia
Aweke mifupa ya kitimoto?Kama huyo mwanga ni mkristu na (au mlaji tu siyo lazima mkristu)anabugia hiyo maneno?Anaitafuna hiyo mifupa na akimaliza anamtafuna muwekaji.
 
Daaaah nakumbuka kipindi nipo sekondari kuna boya alikuwa anasumbua coridoni anatembea kama na kwato hivi, bweni zima watu wenge ukifika usiku. Katika stori stori nikasikiaga kuwa hawa maboya wanaogopa kitimoto na mmea, nikaona kama tatizo plantae haina shida nikafanya maniaje jioni ile ingine nikaweka kwa ubongo nyingine mi na mwanang tukaingia nayo kwa bweni, 😂😂😂 siku hiyo yule boya ndo alikuja kukaba kabisa,
 
Hebu rudia kuandika.Umeelewa ulichoandika?Bado unameza jani?
 
Mkuu hakuna mchawi wa kukumwagia maji[emoji3][emoji3]
Hao ni majinni wapo humo ndani[emoji3]na hapo walifanya vile wala hawakuwa na nia mbaya 🤚🏽🤚🏽hasa hasa wanaofanya hivyo wanakuwa ni watoto wao
Wala usiogope hao ni walinzi wenu[emoji1317]amini usiamini
Kuna vitu mnavofanya kwao wanakuwa na mapungufu ndio
Maana wanaanza kuwafanyia visa,na bado watazidi kuwafanyia visa hata kufkia mnaangalia tv wao wanazima🤣
Hii ilishanikuta mie kaka
Unaweza kuikimbia nyumba[emoji3]
Anyway ni PM tuyajenge zaidi
 
Mkuu usifanye masikhara na huo upuuzi.Watakuzoea.
Nina ushauri kwako kidogo.
Kama unaamini Mungu bila mashaka basi tafuta siku jisafishe,usinywe pombe wala kulala na mkeo au mwanamke yeyote.
Pumzika mida ya mchana,punguza mambo mengi ili usiku uwe fresh kiakili.
Jioni soma soma habari za biblia jinsi Mungu alivyowasaidia watu ktk uponyaji n.k.Iandae akili yako kupokea msaada wake.
Soma soma,sikiliza gospel music hadi tisa usiku.
Muda huo zima redio,tulia kimya for 7 minutes then fungua Zaburi 35 isome kwa sauti yako ukijisikiliza mwenyewe.We nong'ona tu ilimradi unajisikia.Maneno yanaumba.Ukiisoma hiyo Zabur,kila penye Neno BWANA au MUNGU,tamka Jina halisi lake ambalo ni YAHWEH(maana yake The existing One,Yupo,alikuwepo,atakuwepo) ili umuite Mungu halisi aliyepo,atakuja kwako jinsi umtakavyo,He will come and stay with you,you will exist with him.Rudia mara tatu.
After that mkumbatie mkeo mlale kwa amani
Kesho yake jiandae kununiwa na watu na kujifanya hawasikii ukiwasalimu.
Kama wanakutaka sana watakuja kukusalimu ili watengeneze connection physically.Hapo Mungu atakupa nafasi ya kuwajua ili akianza kuwashughulikia wewe ndio uwe mtetezi wao kwa kumuomba awaache au shahidi wake kwa kushuhudia kichapo ukawasimulie wanadamu wenzio wasifanye ujinga.
Thanks mkuu. Nitaufanyia kazi huu ushauri wako. Barikiwa
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana ila hapo naona ulichanganya dunia mbili.. Ya shetani na Mungu... Ulitukana matusi makubwa kisha ukawasha redio ya dini
Na kwanini uwe na imani nusu na robo? Niko mtaani nipe location.. Mida yenyewe ndio hii
Ulichelewa kuja kwenye uzi japo nilikutag. Nipo yombo. Ila kwa leo sijaona wala kusikia chochote.
 
Mkuu hakuna mchawi wa kukumwagia maji[emoji3][emoji3]
Hao ni majinni wapo humo ndani[emoji3]na hapo walifanya vile wala hawakuwa na nia mbaya [emoji1669][emoji1669]hasa hasa wanaofanya hivyo wanakuwa ni watoto wao
Wala usiogope hao ni walinzi wenu[emoji1317]amini usiamini
Kuna vitu mnavofanya kwao wanakuwa na mapungufu ndio
Maana wanaanza kuwafanyia visa,na bado watazidi kuwafanyia visa hata kufkia mnaangalia tv wao wanazima[emoji1787]
Hii ilishanikuta mie kaka
Unaweza kuikimbia nyumba[emoji3]
Anyway ni PM tuyajenge zaidi
Nitakuja...
 
MREJESHO:
Jana niliingia kitandani saa 6 usiku. Mimi ni mkristu mkatoliki ambaye sio imara sana ki imani. Nilifanya maombi ya kawaida tu sikutumia biblia sababu mistari yenyewe ya biblia siijui vizuri ingawa ukiitamka nakumbuka kusoma ndani ya biblia japo sijui au sikumbuki ni kitabu gani.

Basi baada ya maombi tukaingia kitandani ikanichukua muda kupata usingizi kustuka nasikia swallah swallah adhana kwa ajili ya jamaa zetu wa kiislam. Nikamshukuru Mungu kwa sababu ile mida si ya wanga tena. Kwa kifupi hali ilikuwa shwari sikusikia chochote sio mbwa wala paka akipita. Nimeangalia ndani sijaona dalili zozote za kuingia kwa hawa jamaa.

Ahsanteni wote mlionishauri kwa nia njema japo kuna wengine walileta utani.

Mungu awabariki sana.
 
Safi sana mkuu, halafu usiseme una imani ndogo, we kua na imani tu, Amini kwa ujasili sio kwa hofu mambo yataendelea kua mazuri zaidi. Hongera sana mkuu, Hakika Mwenyezi Mungu/Allah ndie muweza wa yote.
 
Amna lolote mkuu,mchawi awezi kumloga MTU akiwa ajalala.dawayake
Chukua mti wa mbaazi na mkaa funga pamoja lala akija tena..njoo inbox.
 
Ukafungua Praise Power Radio baada ya kutukana matusi mazito sio.. Ok subiria leo sasa [emoji56]
 
Back
Top Bottom