Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Hahahaha sipati picha ulivo kuwa night na wife alikuwa anakuchora tu unavyotetemeka kwenda dirishani kucheck. Wanga hawaogopi taa wanawapiga usingizi wa ghafla wanafanya yao alafu kuna hati hati wakakata umeme leo [emoji38][emoji38] nunua mshumaa mapema sana.

Kama huwa usali anza pia piga ishara ya msalaba kabla na baada ya kuamka, kutoka toilet na sehemu zingine angalia usiwe addicted.

Pole Dingi.
Af hii inanikutaga pia, last time nimechanjwa nilikuwa Lindi kawaida huwa nalala midnight ila nkashangaa sikuhio saa3 tu tv haiangaliki, mwili unataka nikaulaze tu nikajitupia bed, nimelala kama nusu saa hivi nakuja stuka napigiwa simu majira ya saa4 tayari nina alama nyuma ya shingo! Hawa wahuni ni hatari sana!
 
@Kanungila karim na Extrovert mniombee achani masihara. Mbona jiwe katuomba tumuombee na mnamwombea?
Tunakombea kwa jina la Yesu bwana wa majeshi pepo wachafu na nguvu za giza zote zisiweze kukufikia mkuu, nawewe inabidi usali kimoyo moyo leo, Praise power mapema sana usisahau kuwasha redio maana hao wanasayansi mwitu kazi huwa wanaanza mapema sana sikuhizi! Saa nne tu wanaweza kuwatimbia, ukiskia bati limekukuruka tu ujue katua sikilizia vigosha vya vidole darini vikianza tu anza kukemea!
 
Amina kaka...[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Ukaamka ukatukana matusi makubwa hivi mbele ya Dogo na wife badye ukafungulia radio ya dini! Hata hao wachawi wana roho ngumu kwa hyo avatar yako hawaogopi ukiwashika uta wa amber ruty
 
Mkuu tulia, wala usihofu.Cha msingi ni kumfanya shem na mtoto wajisikie na amani.Ukipiga kelele kama hivyo utazidi kuwatisha wenzio.Cha msingi sali na uzime taa mlale kama mnavyofanyaga siku zote.
 
Mkuu weka ndimu na kitunguu Swaumu chini mto hii kwa hisani ya Ndugu Mshana Jr. bila kusahahu biblia kama ipo.

Kabla ya kulala tandika maombi kama si muombaji sana sema hata ile sara ya baba yetu ....

Otherwise kama ni shetani piga supu ya kitimoto na bakuri liweke juu ya meza hapo chumbani.
 
Fanya sala ya imani kwa ajili ya ulinzi wa familia yako. Muaminishe mkeo halafu msali kwa imani.

Usicheze kabisa na hayo mambo ya ulimwengu wa giza, sali kwa imani Mungu wako atakushindia.
 
Fanya sala ya imani kwa ajili ya ulinzi wa familia yako. Muaminishe mkeo halafu msali kwa imani.

Usicheze kabisa na hayo mambo ya ulimwengu wa giza, sali kwa imani Mungu wako atakushindia.
 
Tafuta uwepo wa mungu haraka sana,kabla ya kulala omba ulinzi wa mungu.chuku biblia,ikamate alafu omba kwa kumanisha,kemea kweli kweli,alafu fungua zaburi 23,alafu uiweke hivyo hivyo juu ya neti,hakika mungu yupo hutawasikia tena .wataona tu moto chumbani kwako na hata nje
Fanya hivi ulivyoambiwa mkuu kutukana hakutasaidia chochote
 
Daah mkuu pole sana.
Jamaa wahuni sana mimi nimeface matatizo mengi sana nikianza andika hapa utahisi nafanya kazi Hollywood.
Af hii inanikutaga pia, last time nimechanjwa nilikuwa Lindi kawaida huwa nalala midnight ila nkashangaa sikuhio saa3 tu tv haiangaliki, mwili unataka nikaulaze tu nikajitupia bed, nimelala kama nusu saa hivi nakuja stuka napigiwa simu majira ya saa4 tayari nina alama nyuma ya shingo! Hawa wahuni ni hatari sana!
 
Nunua Infra Red Camera ifunge Chumbani,kila Siku usiku washa..Adui anaitwa hofu ndio atakaye karibisha mashambulizi zaidi watakuja na Mchanga,Maji watatembea Juu ya Bati n.k Nakushauri mtu asije kukudanganya kwenda kwa Mganga.Sali sana na ongeza umakini na majirani wasioeleweka..
 
Fanya sala ya imani kwa ajili ya ulinzi wa familia yako. Muaminishe mkeo halafu msali kwa imani.

Usicheze kabisa na hayo mambo ya ulimwengu wa giza, sali kwa imani Mungu wako atakushindia.
Pamoja mkuu. Kwa hali niliyoiona jana itabidi tu nifanye kama unavyonielekeza
 
Back
Top Bottom