Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Lile ni bit tu. Leo sijui itakuaje. Sizimi taa leo
Hahahaha sipati picha ulivo kuwa night na wife alikuwa anakuchora tu unavyotetemeka kwenda dirishani kucheck. Wanga hawaogopi taa wanawapiga usingizi wa ghafla wanafanya yao alafu kuna hati hati wakakata umeme leo [emoji38][emoji38] nunua mshumaa mapema sana.

Kama huwa usali anza pia piga ishara ya msalaba kabla na baada ya kuamka, kutoka toilet na sehemu zingine angalia usiwe addicted.

Pole Dingi.
 
Tafuta uwepo wa mungu haraka sana,kabla ya kulala omba ulinzi wa mungu.chuku biblia,ikamate alafu omba kwa kumanisha,kemea kweli kweli,alafu fungua zaburi 23,alafu uiweke hivyo hivyo juu ya neti,hakika mungu yupo hutawasikia tena .wataona tu moto chumbani kwako na hata nje
 
Uongo gani tena? Mimi nasema nimepita majaribuni wewe unasema uongo tena!
Hawakawii kukuamsha leo usiku na bonge la banzi, mpaka udenda ukutoke. Watakua walikuja vijana wadogo, sasa wamemuendea kaka mkuu aje kukubatiza kwa moto, maana maji umekataa na umewatukana[emoji18]

Halafu hata na hio sura yako hawakuogopa, dah wabishi kweli wale.
 
Tafuta uwepo wa mungu haraka sana,kabla ya kulala omba ulinzi wa mungu.chuku biblia,ikamate alafu omba kwa kumanisha,kemea kweli kweli,alafu fungua zaburi 23,alafu uiweke hivyo hivyo juu ya neti,hakika mungu yupo hutawasikia tena .wataona tu moto chumbani kwako na hata nje
Ubarikiwe dogo J putin. Nilitaka nikapige ulabu ndio niingie chumbani kuoumzika sio kulala.
 
Hahahaha sipati picha ulivo kuwa night na wife alikuwa anakuchora tu unavyotetemeka kwenda dirishani kucheck. Wanga hawaogopi taa wanawapiga usingizi wa ghafla wanafanya yao alafu kuna hati hati wakakata umeme leo [emoji38][emoji38] nunua mshumaa mapema sana.

Kama huwa usali anza pia piga ishara ya msalaba kabla na baada ya kuamka, kutoka toilet na sehemu zingine angalia usiwe addicted.

Pole Dingi.
Nilitishia kutoka nje akanizuia. Ila kwa kweli nilivurugwa aisee!
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Pole sana ndugu yangu. Wanga wapo na ni mawakala wa shetani. Bila kujali imani yako ya dini, nakushauri uwe na utaratibu wa kusali pamoja kabla ya kulala. Na muhimu pia uwe na maji ya baraka ndani na chumvi iliyobarikiwa. Baada ya kusali, nyunyiza maji ya baraka na kukemea wanga na pepo wachafu. Hata kama huamini, jaribu tu utaona matokeo chanya. Mungu akulinde wewe na nyumba yako
 
Ubarikiwe mkuu. Amina.
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Kwanza unaamin kwa Jina la Yesu yote yanawezekana....? Kama kweli unaamin bas Solution ya Wanga co kuwatukana mkuu bas kuomba Ulinzi toka kwa Yesu pekee. Kama ww n Muislim unamuamin Allah....? Allah ndio solution ya wanga yo

Wote na wachawi. Kwahyo amini Mungu ndio miweza wa yote
 
Nimecheka saaaana lakini yamenikuta mchana huu kweupe Niko Sumbawanga hapa, Maeneo ya Mwambwemkoswe. Asubuhi Wakati natoka hotel kule city center nilibadilisha suruali, hivyo nikatoa vitu vyangu, vitambulisho na pesa nikaweka kwenye suruali niliyovaa Leo.

Miongoni mwa vitu ambavyo nilitoa ni Coin ya jero. Nimefika nimefanya kazi nikaenda washroom Kama saa moja iliyopita. Nimefika nafungua Zipu, nakuta kwenye boxer hapa jirani kabisa na Penis, kuna kitu kama coin, nikaweka mkono ndani ya Boxer nikatoa Coin. Imefikaje hapo Sijui...
Nikakojoa nikarudi nikaendelea na kazi hadi sasa.

Seems hizi teknolojia ni kweli zipo...
 
Pole mzee unatishia kumbe na wewe m*v yanagonga kyupi. [emoji38][emoji38]

Pole sana siku moja moja muwe mnamkumbuka Mungu hata wakati wa kula licha ya kulala....

Unaweza sema unakula msosi kumbe kuna limsukule la jirani linakula linatemea makombo kwa sahani [emoji38][emoji38].

Ukila hushibi ukishiba muda mfupi tu unatamani kula. Vyakula ndani vinawahi kuisha alafu mpo wachache tu [emoji38][emoji38][emoji38]ukichenchi elfu kumi dakika sifuri imeisha [emoji23][emoji23][emoji23] muombe Mungu hapo wanatest mitambo sasa....

#tumewasha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#LofaMimi
Nilitishia kutoka nje akanizuia. Ila kwa kweli nilivurugwa aisee!
 
Nimecheka saaaana lakini yamenikuta mchana huu kweupe Niko Sumbawanga hapa, Maeneo ya Mwambwemkoswe. Asubuhi Wakati natoka hotel kule city center nilibadilisha suruali, hivyo nikatoa vitu vyangu, vitambulisho na pesa nikaweka kwenye suruali niliyovaa Leo.

Miongoni mwa vitu ambavyo nilitoa ni Coin ya jero. Nimefika nimefanya kazi nikaenda washroom Kama saa moja iliyopita. Nimefika nafungua Zipu, nakuta kwenye boxer hapa jirani kabisa na Penis, kuna kitu kama coin, nikaweka mkono ndani ya Boxer nikatoa Coin. Imefikaje hapo Sijui...
Nikakojoa nikarudi nikaendelea na kazi hadi sasa.

Seems hizi teknolojia ni kweli zipo...
Pole na wewe mkuu. Vp mifuko ya suruali yako ipo sawa au imetoboka? Aaaaarrggh shida sana hii.
 
Back
Top Bottom