Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Jana usiku nimejaribiwa na wachawi

Niruhusu nilale na mkeo usiku mmoja tu,nimpake dawa sehemu zake nyeti,kamwe hutoona mchawi wala mwanga atakayekatiza anga lako.
Sihitaji pesa wala mbuzi,kwa mujibu wa mizimu.
Tatizo la wahamiaji toka facebook kuja jf linazidi kuongezeka. Tusipokuwa makini tutakuta jf sio magreater thinker tena ni mamburula watupu.
 
Acha uoga mzee baba, ingawa wachawi wana mambo ya kixenge sana mi huwa wananikwaruaga mara nyingi tu unakuta nyuma ya shingo nina mkwaruzo ama pembezoni mwa mabega mpaka sasa wamenikaushia sijui sioni kitu tena, ila namuamini sir God! Nikiwa na matatizo yangu nasali na maombi yanajibiwa naona tu yangu yananiendea! Ukiona unasumbuliwa sana jua una nyota kali mzee baba!
Hivi hiyo miikwaruzo huwa wanaweka ya nini,mimi huwa nakuta mikwaruzo sana na huwa ni herufi wataalamu ya haya mambo waeleze plz
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Halafu siku nyingine wachawi wakija usitumie nguvu kutukana sijui nitawafraa sijuwi k**m nyie nooo unatakiwa utaji jina la mwokozi wetu yesu kristo wakisikia hilo jina wanatoka nduki
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Wachawi ni wapuuzi tu hauna haja ya kuwaogopa, cha msingi ni kumtegemea Mungu ila usiogope mazingira mengine ukiyakuta. Mi mwenzako mchawi akiingia ndani nikiwa nimelala hata kama sina ndoto, kwa ghafla tu huwa inanijia hali naona mazingira ya chumba chote nilicholala. Kuna kipindi ilinijia hiyo hali nikaona kabisa ukuta unafunguka na wakaingia. Walikuwa wawili na kitoto kimoja hivi.

Kuna siku walinisogelea nipo kwenye hali ya kama ya kinjozi nawaona. Waliposhika kichwa changu tu nikashituka na uzuri siku hiyo sikuzima taa. Nilimuona kwa macho ila alipotea kwa ghafla sikumuona.
 
Mimeshafanya maombi mimi na mama watoto. Sizimi taa nitawapa mrejesho kesho ahsubuhi. Muwe na usiku mwema. Mlale unono. Na mimi ndio naingia ndani ya neti. Good night kwa wote.
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Hapo hamna wachawi mkuu kati yenu kuna mtu alielekeza kojoleo juu akaachia kitu afu akajistukia haraka
 
Hivi hiyo miikwaruzo huwa wanaweka ya nini,mimi huwa nakuta mikwaruzo sana na huwa ni herufi wataalamu ya haya mambo waeleze plz
inasemekana kwamba wanapokukwaruza wanakupaka madawa yao
 
Mkuu usifanye masikhara na huo upuuzi.Watakuzoea.
Nina ushauri kwako kidogo.
Kama unaamini Mungu bila mashaka basi tafuta siku jisafishe,usinywe pombe wala kulala na mkeo au mwanamke yeyote.
Pumzika mida ya mchana,punguza mambo mengi ili usiku uwe fresh kiakili.
Jioni soma soma habari za biblia jinsi Mungu alivyowasaidia watu ktk uponyaji n.k.Iandae akili yako kupokea msaada wake.
Soma soma,sikiliza gospel music hadi tisa usiku.
Muda huo zima redio,tulia kimya for 7 minutes then fungua Zaburi 35 isome kwa sauti yako ukijisikiliza mwenyewe.We nong'ona tu ilimradi unajisikia.Maneno yanaumba.Ukiisoma hiyo Zabur,kila penye Neno BWANA au MUNGU,tamka Jina halisi lake ambalo ni YAHWEH(maana yake The existing One,Yupo,alikuwepo,atakuwepo) ili umuite Mungu halisi aliyepo,atakuja kwako jinsi umtakavyo,He will come and stay with you,you will exist with him.Rudia mara tatu.
After that mkumbatie mkeo mlale kwa amani
Kesho yake jiandae kununiwa na watu na kujifanya hawasikii ukiwasalimu.
Kama wanakutaka sana watakuja kukusalimu ili watengeneze connection physically.Hapo Mungu atakupa nafasi ya kuwajua ili akianza kuwashughulikia wewe ndio uwe mtetezi wao kwa kumuomba awaache au shahidi wake kwa kushuhudia kichapo ukawasimulie wanadamu wenzio wasifanye ujinga.
 
Kumbe tulikuhenyesha haahaa, tupo tunafanya maandalizi hapa tukutimbie mda uleule
 
Mimi nlikua nawangiwa tabora, nlichokua nafanya nkulala nje. Ndipo nkamuona jamaa aliekua anawanga tena tulikua tunaishi nae kumbe. Mfano ukisikia bati linakwaruzwa ujue hayuko juu, yeye anakua amebana sehemu Fulani nzuri anajitikisa mwili reflection inatokea kwenye bati.
 
Mara nyingi hawa jamaa hutumia PAKA sana, hiyo nyumba ina jiko pemben, bas ukiskia vurugu nenda jikoni kaangalia unaweza kuona paka anatoka humo. Nngekuepo hapo tungesumbuana sana man nakuaga kichaa hapo mpaka nmpate alipojificha tu. I never fear.
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
Nimefungua Uzi wako SAA 8:41 ....yaaan ukatukana matusi makubwa hivyo alafu mambo ya Praise power juu? Huko ni kumdhiaki Mungu....BTW unaishi Dar ?
 
Wanaandaa mazingira ya kula apple
Kuna jamaa huku mtaani alifanyiwa
Ivyo ivyo kumwagiwa maji baada ya siku 3 akalawitiwa kuwa muangalifu ndugu
Ahahahahahahahaha kwahiyo akeshe na kuomba mpaka hizo siku tatu ziishe,?
 
Nilipoangali muda ilikuwa ni saa 8:41 usiku. Tulimwagiwa maji tukiwa tumelala mimi na shemeji yenu na mtoto wangu wa mwaka na miezi mitatu. Maji yenyewe yalikuwa kama mtu aliyechovya mkono ndani ya maji kisha akakunguta mkono.
Sikuwa kwenye usingizi mzito, hata mama watoto naye hakuwa kalala fofofo. Basi baada ya kusikia kwa mara ya kwanza nikastuka ila nikasikilizia. Wakarudia tena kwa mara ya pili shemeji yenu akaniuliza ni nini hicho? Nikamwambia kama manyunyu hivi, kisha akawasha taa kulikuwa na bedswitch upande wake.

Tulipoangalia tukaona kuna maji kwenye miili yetu pamoja na mtoto. Nikatoka kitandani na kwenda kuangali dirishani kama kuna mtu alimwaga maji akiwa nje. Nilipoangalia sikuona dalili yoyote ya mtu kumwaga maji akiwa nje. Sikuona sehemu yoyote iliyokuwa na matone ya maji zaidi ya sisi na kitanda.

Nikatukana tusi kwa sauti kubwa ***** zenu wanga wakubwa nyie!. Mnatafuta kufirw@ kenge kasoro magamba nyie huku nikiwa na hofu kubwa. Tukajifuta ile mimaji nikafungua praise power radio nikakuta kuna maombi yanafanywa usiku huo. Sikuweza tena kulala japo nilikuwa ndani ya neti.

Sasa muda ndio huo unaenda. Usiku unakaribia na nishawatukana hawa wanga. Jana walinimwagia maji leo sijui nini kitajiri.

Cc. Mshana Jr
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana ila hapo naona ulichanganya dunia mbili.. Ya shetani na Mungu... Ulitukana matusi makubwa kisha ukawasha redio ya dini
Na kwanini uwe na imani nusu na robo? Niko mtaani nipe location.. Mida yenyewe ndio hii
 
Back
Top Bottom