Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

Ni hivi nyie ambao hamshabikii mipira na mnajali muda mmeachieve nini tofauti na watu wanaoshabikia mipira? Unalikuta lidume kabisa halipendi mpira ila Golden Boy ikiwadia na tamthilia za kifilipino zilizotafsiriwa kiswahili linakuwa la kwanza kushika remote. What a waste!
Yaani mkuu haya mambo ya mpira kwa wasiojielewa ni kama ugonjwa au wendawazimu kuna watu hawajali muda wa kazi au vitu muhimu wenyewe ni kubishania mpira tu
 
Nami nimeota pia, ila mi nimeota ya nyumbano tu, Mamelod wanatangulia kufunga ila game inaisha 2-1 FT kwa Mkapa.
 
Back
Top Bottom