Watanzania
Tujifunze First Aid
Tuwe na First Aid kits majumbani kwetu. Tuwe na antivenom majumbani kwetu na tuwafundishe wote tunaoishi nao jinsi ya kutumia hizo aid kits.
Tukifanya hivi tutapunguza vifo vingi visivyo na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu!
Kwa ushauri kwa sie tunaoishi mashambani lazima uwe na nguo na viatu vya tahadhari!
Sehemu kama hizo nunua boots za kijeshi na rain boots! Pia kuwa na combact au suruali ngumu!
Ziweke sehemu ambayo ni rahisi kuvaa fastaa linapotokea jambo ili ukisikia kokoro usitoke na ndala au sendo tena!
Vipi ungekuta mwizi na yapaswa umkimbize machakani? Ungemkimbiza na ndala? Au huyo nyoka angekugonga kama ungekuwa kwenye boots?
Akhsante sana mkuu, nimefikiria sana iwapo angekuwa kwa juu ya banda na akanidhuru.
Unatushauri sisi tu au???? wewe tayari unavyo hivyo vitu nyumbani sasa hivi.Watanzania
Tujifunze First Aid
Tuwe na First Aid kits majumbani kwetu. Tuwe na antivenom majumbani kwetu na tuwafundishe wote tunaoishi nao jinsi ya kutumia hizo aid kits.
Tukifanya hivi tutapunguza vifo vingi visivyo na msingi
Naam hakukuwa na anaejua kuendesha muda huo, mzee akiona naserereka kwenye kona na mia na ishirini alikuwa ananiuliza mara kwa mara najisikiaje....nadhani ni hofu ya kujua naanza kupoteza mdogo mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa Nge hapo. Nge akikugonga maumivu yake hata usipoweka dawa yadumu 24 "hours" halafu yanaaondoka yenyewe ghafla. Ila huyo mwingine naogopa hata kumtaja maana wanasema ukimtaja taja sana huchelewi kumukuta mguuni kwako.Nyoka, Nge.
Kwa kweli Mungu aniepushe na hawa viumbe wawili.
Bro unautalamu na hawa wadudu??... mana leo katika mishe za hapa na pale nimekutana na mmoja aisee yuko fasta sana ni mrefu usawa wa mkono wa mtu mzima halafu anakichwa kilichochongoka mithili ya pembe tatu hivi na mweusi ila siyo ya kukolea, baada ya kuniona alikimbia sana akafika kwenye kidimbwi cha maji akachumpa kwa speed sana na kudumbukia humo nilishanga sana maana sijawahi kuona nyoka wa aina ile na mbio za namna ile.Pole ila sijajua ni nyoka yupi unamaanisha
Siku nyingine ikitokea fanya haya
1 ufunge mguu sumu isipande (hii nadhan ulifanya)
2 chanja mguu au sehem iliyoumwa ili ile damu iliyozuiwa na kamba iwe inatoka nje, inapotoka inatoka na sumu
3 kunywa mkojo
Halafu wahi hospital
Huyo alikuwa kicheche mkuuBro unautalamu na hawa wadudu??... mana leo katika mishe za hapa na pale nimekutana na mmoja aisee yuko fasta sana ni mrefu usawa wa mkono wa mtu mzima halafu anakichwa kilichochongoka mithili ya pembe tatu hivi na mweusi ila siyo ya kukolea, baada ya kuniona alikimbia sana akafika kwenye kidimbwi cha maji akachumpa kwa speed sana na kudumbukia humo nilishanga sana maana sijawahi kuona nyoka wa aina ile na mbio za namna ile.
Hivi huyu ni nyoka wa aina gani boss au ndio swila mwenyewe??.
Ha ha ha!!Huyo alikuwa kicheche mkuu
Akhsante sana mkuuPole sana mkuu ila story yenyewe duuuuuuhhhhh