Akhsante sana kwa kwa ushauri mkuu.Siku nyingine ikitokea fanya haya
1 ufunge mguu sumu isipande (hii nadhan ulifanya)
2 chanja mguu au sehem iliyoumwa ili ile damu iliyozuiwa na kamba iwe inatoka nje, inapotoka inatoka na sumu
3 kunywa mkojo
Halafu wahi hospital
Nakushukuru sana kwa ushauri wako, ni kweli maana hapo hata kufunga tu kulikuja baadae kidogo.Watanzania
Tujifunze First Aid
Tuwe na First Aid kits majumbani kwetu. Tuwe na antivenom majumbani kwetu na tuwafundishe wote tunaoishi nao jinsi ya kutumia hizo aid kits.
Tukifanya hivi tutapunguza vifo vingi visivyo na msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Imani potofu ipi hapo?
Snake, aina siijui kwa kuwa nilimuona muda mfupi na pia sina utaalam nao.Pole ila sijajua ni nyoka yupi unamaanisha
Pole mkuu Mungu akupe afyaSnake, aina siijui kwa kuwa nilimuona muda mfupi na pia sina utaalam nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akhsante sana nashukuru, leo dunia naitazama kwa mtazamo mwengine kabisa.Pole sana mkuu
Pole,
ka kuku na mbuzi vingetoa uhai wako, siku ingine
achana navyo usitoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,
ka kuku na mbuzi vingetoa uhai wako, siku ingine
achana navyo usitoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole,
ka kuku na mbuzi vingetoa uhai wako, siku ingine
achana navyo usitoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu!Hakika, wameamka wapo safi kabisa wanaendelea na mishe zao huku mimi nauguza jeraha.
Sent using Jamii Forums mobile app