Jana nilikutana na Yesu Manzese

Jana nilikutana na Yesu Manzese

Jitahidi uwe unatoa mbegu kabla ya kunyonga, pia ni vyema ukatumia Rizzla badala ya kunyonga kwenye gazeti.
Mwisho, japo sio kwa umuhimu, piga kitu ukiwa kwenye mazingira safi na hewa ya kutosha na sio kwenye choo cha shimo
😆😆
 
Habari kama hii bila picha ni ubatili mtupu😂😂
 
Du nilisahau next time nitapiga selfie naye

Kama mtakutana tena !!
Kabla ya picha
Tunaomba muulize swali
Majo tu❗️

Izi pesa za Sadaka zinamfikia yeye kweli ❓️
Wahuni wenzetu uku wenye vyeo na majina ya kitakatifu❗️
wanatwambia Sadaka ni zake yeye na tutazikuta uko❗️
je kweli tutazikuta ❗️
na zinamfikia zote zote❓️
 
Wagonjwa wa akili ni wengi sana siku hizi, na sio lazima mtu avue nguo maana nguvua nguo ni stage ya mwisho.

Wahi mirembe mkuu, tatizo lako linatibika.

Nakuunga mkono kwasasa tumefika kubaya
Jana sio leo
vizuri watu wapime Afya zao kuona kwasasa wanamapungufu yapi Sekta ya mwilini mwako❗️
 

Attachments

  • b9eae190-b35b-11f1-b949-71f91f81d1ab.jpg.webp
    b9eae190-b35b-11f1-b949-71f91f81d1ab.jpg.webp
    24.6 KB · Views: 2
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu akatoweka. Usishangae wala kupinga. Kwani, tunaambiwa kuwa Yesu alikula na kunywa na wenye dhambi. Kabla ya hapo, nilikutana na mama yake kijijini kwetu. Tulipiga story nyingi nikagundua kuwa kumbe ni mchekeshaji na mshikilizaji mzuri. Habari ndiyo hiyo. Yeyote ambaye hataaamini ufunuo huu, ajue. Ana mashetani. Kama alivyowashukia wanafunzi wake, nami kanishukia. Kama alivyofunuliwa mtume Muhammad, nami nimefunuliwa. Mimi ni Mswahili wa kwanza kufunuliwa mambo haya. Je mtakubali kuwa nami ni MTUME na Mwana wa Mungu pekee aliyebaki duniani?
Nawasilisha.
Karibuni kuchangia.
Unge piga nae kapicha mkuu
 
Kwa jinsi maisha yanavyotuchapa tunapata stimu zisizojulikana ila zinafanana na za bangi
 
Father of All
Fanya upitepite tena iyo mitaa ya Manzese yumkin mkakutana tena
Maswali yanaongezeka uku
Jamaa mwengine apa anataka kujua
Kama ikiwa pesa zinamfikia je wanamtumia kwa njia ipi Halo pesa
au Yass

Mwengine anauliza ❗️

kwanni Mungu
anapokea Pesa tu
Mbona awa wakusanyaji hawatwambii tulete matunda ❗️

kwa mfano kwasasa ni msimu wa Mapera!!!
tunaweza kuwakusanyia
Tenga zima
wakaenda kula na Malaika wake Mbinguni❓️

Fanya hima tuwajibu awa kondoo wa bwana 🙏
 
Back
Top Bottom