Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,738
mm pachake jini maimunaUmevuta zako bangi ndani ya msikiti mashekhe wakaona sio kesi acha wakutunuki jini mmoja akufundishe kunyamaza

😁😁😁Unasema baada ya kusogelea kioo kwa ukaribu ndiyo ukajiona vizuri
Ila Leo umerudi tena hujajiona umejaribu kuwasha taa hapo ulipo itakuwa Leo kuna Giza
😁😁 Milembe Dodomaila kuna zaidi ya kufanana kwa sababu unajikuta umekaa sehemu na unajisalimia
😁😁Navutaga bange lakini hii yako imenizidi
Tamaa ndio kisababishi kikubwa; ukirizika na maisha yako na kujali yako unaweza kuepukana nayo.Hivi,yanaambukizwaje?Kuangaliana?Hewa?Kugusana?Je,barakoa zitasaidia?
Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
Ikabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
Baada ya kumuuliza mambo mengi nikagundua huyu ni mimi lakini nilishapata hofu inakuaje nijikute tena huku ?
Nikajiacha pale nikarudi home kwa sababu nilikua nawaza sana, nahisi kama wewe ungejikuta sehemu ungeota wiki nzima lakini mimi sikuota na baadae nilichukulia kawaida leo nikarudi pale ila sijajikuta.
Nitakua narudi pale mara kwa mara kuona kama nitajikuta tena sehemu hiyo
Hivi chai ya rangi unana mke¿¿¿Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
Ikabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
Baada ya kumuuliza mambo mengi nikagundua huyu ni mimi lakini nilishapata hofu inakuaje nijikute tena huku ?
Nikajiacha pale nikarudi home kwa sababu nilikua nawaza sana, nahisi kama wewe ungejikuta sehemu ungeota wiki nzima lakini mimi sikuota na baadae nilichukulia kawaida leo nikarudi pale ila sijajikuta.
Nitakua narudi pale mara kwa mara kuona kama nitajikuta tena sehemu hiyo
kwakweli sina kaka ndo nipo naangalia angalia badoHivi chai ya rangi unana mke¿¿¿
Nilijua tu.kwakweli sina kaka ndo nipo naangalia angalia bado