Jana nilikutana na mimi

Jana nilikutana na mimi

Mimi ilikuwa tofauti kidogo mkuu

Nilishawahi kukutana na mtu amefanana na mimi 100% percent

Ila mavazi ulikuwa tofauti na sikujaribu kuongea nayeye nilikuwa namshangaa tu mpaka akaondoka na njia ilikuwa ndefu na sikumuona tena mpaka leo

Ila nilikuwa nipo darasa la sana kipindi icho

Sasa jioni nilimwambia brother, yeye kipindi hicho alikuwa yupo form 2, aisee alicheka sana akanambia mdogo wangu unaelekea kuwa chizi sasa na utadata mda si mrefu

Na ilikuwa nikiwaambia watu kuhusu kukutana na mtu yupo sawa kila kitu kimuonekano walikuwa wanacheka na kuniona mimi kama comedy.

Sijasahau hilo tukio
ungemuongelesha ili usikie sauti yake
 
Back
Top Bottom