ni kweli wame elekezwa kuwa majimbo ya upinzani hayapaswi kufikia 60. Kumbuka kinana na chama chake walishafanya taarifa kuwa upinzani utapata majimbo 50 ili wa maintain umajoriti wao kwenye bunge
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
Hujakosea ndio hali halisi halafu wapiga kura tuendelee kuogopa kusema kwa kuwa ccm ni miungu mie hata wakenya hawakutaka yale yatokee ni lazima tujitolee kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu.If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
Hujakosea ndio hali halisi halafu wapiga kura tuendelee kuogopa kusema kwa kuwa ccm ni miungu mie hata wakenya hawakutaka yale yatokee ni lazima tujitolee kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu.
Yeah, tuna kila sababu ya kuamini lilitoka agizo kali "NO MORE WAPINZANI"
Naona at late hours wameona haya wameiludisha jimbo la Kilombero.