Elections 2010 Jana ndo ilikuwa cut off ya wapinzani kuendelea kunyakua ubunge

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
 
ni kweli wame elekezwa kuwa majimbo ya upinzani hayapaswi kufikia 60. Kumbuka kinana na chama chake walishafanya taarifa kuwa upinzani utapata majimbo 50 ili wa maintain umajoriti wao kwenye bunge
 
ni kweli wame elekezwa kuwa majimbo ya upinzani hayapaswi kufikia 60. Kumbuka kinana na chama chake walishafanya taarifa kuwa upinzani utapata majimbo 50 ili wa maintain umajoriti wao kwenye bunge

haswa hata mimi nilimshangaa alipoamua kutangaza hivyo wakati majimbo mengine hayajatangazwa! Kweli ccm = nec
 
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM

This looks, to me, like more than a mere coincidence. It looks like a pre-meditated and pre-planned act by the ruling party in collaboration with every possible organ like NEC, that is supposed to oversee the interest of the country and not one party. That is why Kinana alitangaza kabisa tathmini ya uchaguzi na matokeo ya CCM na kuhitimisha kwa idadi ya viti vya ubunge ambavyo wapinzani wamepata mwaka huu japokuwa asilimia kubwa ya majimbo ilikuwa haijatangaza matokeo yake hadi wakati ule. Inaelekea waliona 'inatosha' idadi ya wabunge wa upinzani... this is dangerous than I initially thought!!
 
Tz has a long way to go on democracy just like Zimbabwe
 
Yeah, tuna kila sababu ya kuamini lilitoka agizo kali "NO MORE WAPINZANI"
 
Ungangisha nukta kati ya muda wa press conf. ya kinana, MATAMSHI (hasa Takwimu), na press conf. ya makamba, kisha tafakari kilichofuata. Kwa ufupi: Matokeo yote yaliyo na yatakayofuata ni sawa na njia anazopitia/lazimisha kiraza kukotoa swali baada ya kufunua mwisho wa kitabu na kuona jibu.
 
If I am wrong someone to criticize me please.
Naona kama jana ndo ilikuwa mwisho wa kutangaza ushindi kwa majimbo ambayo yamechukuliwa na wapinzani.
Je ni agizo toka NEC kwa wasimamizi kuwa waliopatikana wanatosha au it has just happened by coincidence.
Mind you the more delays are made unless there is a mass pressure lazima ushindi uende CCM
Hujakosea ndio hali halisi halafu wapiga kura tuendelee kuogopa kusema kwa kuwa ccm ni miungu mie hata wakenya hawakutaka yale yatokee ni lazima tujitolee kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu.
 
Omutwale kwa Kitaalamu ilo laitwa DESA.
Yaani piga ua galagaza as long as unajibu kichwani uku kwingine ni koforge tuu ili mradi utally na jibu
 
Hujakosea ndio hali halisi halafu wapiga kura tuendelee kuogopa kusema kwa kuwa ccm ni miungu mie hata wakenya hawakutaka yale yatokee ni lazima tujitolee kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu.

Utajitokeza peke yako , mie simo. Mtu ameshindwa kihalali halafu nijitokeza , japokuwa ni mwana CHADEMA
 
Bogas Brain....shenzi taipu, wewe kibaraka tu huna lolote kafie mbali huko. Unadhani US iliota kama uyoga tu. Ustawi wa jamii yoyote lazima sacrify itokeee. hiyo ni must...otherwise tunadanganyana that is what i know...and its is justified by history itself.
 
njowepo nimependa signature yako ""The jaws of power are always open to devour, and her arm is always stretched out, if possible, to destroy the freedom of thinking, speaking, and writing."John Adams

ila CCM wajue hawatatawala milele.. kizazi hiki kitazidi kuwa na chuki..... let us wake up, siyo kesho bali sasa!! tupiganie nchi yetu.. kama Mwl. Nyerere alivyofanya.. nchi imekamatwa na wakoloni.... tunatakiwa tuwatoe wakoloni hawa..

na nyie mnaoshabikia CCM ni vema mrudi nyuma na kutafakari tena na tena na tena!!!

Naona at late hours wameona haya wameiludisha jimbo la Kilombero.
Kesho unaweza sikia la Segerea nalo limerudi imekuwa sio kura tena bali ni utashi wa JK na NEC kweli hii ndo Tz Democracy
 
WASHKAJI BILA MASWALI NILIKUWA NAWAZA HIVYOHIVYO THATs WAY JANA KINANA kibaraka ALITOKA NA KUTANGAZA HAZARANI,NIKAJUA IMEKWISHA. I WAS LIKE DAMN! FxxxK KINANA HE HIS SON OF THE BxxxCH.
 
Yeah, tuna kila sababu ya kuamini lilitoka agizo kali "NO MORE WAPINZANI"

WaTZ tumewapa nafasi muhimu kwa watu wenye uraia wenye utata hivyo maamuzi na ushauri wanaotoa kwa watawala wa nji hii si wa kizalendo bali ni ya kukandamiza raia. Utawala bora hauna nafasi maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kuwalazimisha wakurugenzi wa jiji miji wilaya kuchakachua matokeo ya uchaguzi pasipo na ridhaa ya wapiga kura. Maamuzi magumu hutolewa na yeyote ali mradi ni mwanafamilia au awe na uhusiano na BMW wamo Makambaa RA EL RIZ MIRA....KINAMA spika mtarajiwa
 
Naona at late hours wameona haya wameiludisha jimbo la Kilombero.

Ni kweli hiyo? If this is true, then it's an upswing to my day.
Please confirm if you are sure and the source please (I hope it's not ITV cos it seems they had "mistaken" and changed the report in favor of CCM).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom