ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,460
- 67,428
Wewe ulipostiwa?Kwa hii comment yako bila shaka haujampost
Wewe ulipostiwa?Kwa hii comment yako bila shaka haujampost
Kuna mdada akaniambia anataka kuachana na Mimi nikamjibu poa tuachane maana uamuzi ni umefanya wewe na Mimi siwezi kubadilisha moyo wako eti akaniambia basi tuwe hata na urafiki me nikamwambia tukishiachana Wala usijisumbue kunitafuta nami pia sikutafuti eeh nashangaa ananiambia basi tusiachaneKwamba akikupost biashara yake itakua hatarini
Una hoja!girlfriend days, boyfriend days, happy birthdays, new year, mama's day, father's day nk ni ujinga mtupu, money wasters, time wasters!
Mahondaw alikupost ?
Ndiyo...Mahondaw alikupost ?
Vizuri.Ndiyo...
Hapana aiseeUmempost mpenzi wako?
Only share with.. haha mambo ya ajabuKupostiwa ndo kupendwa mkuu? Unaweza ukapostiwa na bado ukavyuu mwenyewe.
Anyway umeenda mbali mno waliwishiwa hata kwa a sweet text message au phone call😀
nisikilizwaUna hoja!
Naamnisikilizwa
😂😂😂sanaaOnly share with.. haha mambo ya ajabu
Mwambie baba ako akuungishe. Sisi wanaume wengine hatuvai aina hiyo ya nguo.Jana boyfriend day ilimuhusu mwanaume mmoja tu TESHA
Nyie wengine njooni mniungishe vijora 😹
Duh bro you are so cold!Mwambie baba ako akuungishe. Sisi wanaume wengine hatuvai aina hiyo ya nguo.
Putin wa kuchovya unavaa size ngapi? Unaweza kumchukulia hata mumeo au nikupe kile km cha Anko T kitakukaa poa sana 😹😹😹Mwambie baba ako akuungishe. Sisi wanaume wengine hatuvai aina hiyo ya nguo.