Jana ilikua boyfriend day

Jana ilikua boyfriend day

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,147
Reaction score
33,570
Je amekupost mtandaoni?

Amekupost kukushukuru vile unavyotumia muda na gharama kumuhudumia na kumaliza changamoto zake?

Nauliza tena, amekupost kuuambia ulimwengu jinsi ulivyo mwanaume mwema kwake?

Amekupost kuuambia ulimwengu jinsi anavyokupenda na wewe ndie mwanaume pekee kwenye maisha yake?
 
img_1_1753710265702.jpg
 
Kuna metrics nyingi zaidi za kupima Mwanamume mwema zaidi ya kutoa pesa.

Maana inawezekana si wewe tu unayepata hizo pesa, sasa wewe jichoreshe mtandaoni mwanaume pekee wa maisha yako uje ujipate kwenye kamati ya harusi ya huyu mwanamume wa maisha yako na bibi harusi sio wewe.

Wengine pesa ndo namna yao ya kununua loyalty yako tu. They'll treat you like sh#t then remind you of the money they give you. Basically they think money is everything.

Sio muaminifu, hakuheshimu, dharau, yaani ukute hata hakupendi basi tu kaamua wewe ndo utakuwa place holder / wa kumpa image.

Anyways kama hao ni mwanamke na mwanamume mwema kweli, he need not waste more time: amuoe, aendelee kumtunza, awe muaminifu na amuheshimu, mbona kupostiwa kitu kidogo sana.

Sio tu boyfriend day. Utakuwa whatsapp profile picture, kila outing utapostiwa tumuone sponsor, anniversary, special days utapostiwa, hata kwenye bango huko barabarani.
 
BTW si ni wewe unahubiri wanawake used humu. Mtu unakua na spirit ya ajabu halafu unataka kupostiwa? ? Wewe sidhani kama utapostiwa, coz huyo mwanamke atakayekuwa nawe atakuwa anavumilia mengi kuwa nawe sidhani atakuwa na nguvu za kukupost. Endelea tu kutoa hela, utakuja kupostiwa na mishumaa.
 
Kupostiwa ndo kupendwa mkuu? Unaweza ukapostiwa na bado ukavyuu mwenyewe.

Anyway umeenda mbali mno waliwishiwa hata kwa a sweet text message au phone call😀
 
Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haitambui uwepo wa siku hii kwa hiyo haina umuhimu
 
Kuna metrics nyingi zaidi za kupima Mwanamume mwema zaidi ya kutoa pesa.

Maana inawezekana si wewe tu unayepata hizo pesa, sasa wewe jichoreshe mtandaoni mwanaume pekee wa maisha yako uje ujipate kwenye kamati ya harusi ya huyu mwanamume wa maisha yako na bibi harusi sio wewe.

Wengine pesa ndo namna yao ya kununua loyalty yako tu. They'll treat you like sh#t then remind you of the money they give you. Basically they think money is everything.

Sio muaminifu, hakuheshimu, dharau, yaani ukute hata hakupendi basi tu kaamua wewe ndo utakuwa place holder / wa kumpa image.

Anyways kama hao ni mwanamke na mwanamume mwema kweli, he need not waste more time: amuoe, aendelee kumtunza, awe muaminifu na amuheshimu, mbona kupostiwa kitu kidogo sana.

Sio tu boyfriend day. Utakuwa whatsapp profile picture, kila outing utapostiwa tumuone sponsor, anniversary, special days utapostiwa, hata kwenye bango huko barabarani.
Amekupost?
 
Kupostiwa ndo kupendwa mkuu? Unaweza ukapostiwa na bado ukavyuu mwenyewe.

Anyway umeenda mbali mno waliwishiwa hata kwa a sweet text message au phone call😀
Kwa hii comment yako bila shaka haujampost
 
Back
Top Bottom