Jana hiyo

Jana hiyo

Wanaume wa mikoani hapo tutashinda na njaa tu.

Halafu sipati picha kiasi cha sukari mtu utakachoondoka nacho kwa mlo kama huu. Wanaume wa Dar na Msata mna shida!
1475482130483.jpg

Hawa wanaume wa Dar wanapenda kufananisha ugali na vitu vya kijinga
 
Huku kunafanana na kuisoma namba, maana matunda umechuma shambani
Juisi ni damu ya Jana [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana jisafishe....

Umechafuliwa hapa...
Huna nguvu za kiume kwa mlo huo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asiyeamini wee mwambie aje tu tufanye test drive! Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
 
Kila nikikumbuka habari za matikiti....najikuta nikiyaona naona kinyaaa.....
 
Duh, mshana jr naye bwana??? chakula au msosi gani huo wa matunda matupu...dah, vitamin C kwa kwenda mbele isipokuwa hayo maharage au karanga na sijui na dagaa ...dah...tehtehtehtehteh
Bufeee
 
Back
Top Bottom