maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
mashaalah!View attachment 411187mambo iko hapo
mashaalah!View attachment 411187mambo iko hapo
HP 16 iHorse power 12+
mkuu hapa umechanganya hasi na chanya =0. Ondoa soda zote na hizo cans za kijani, ondoa hizo kekikeki na azam juice. nibakizie matunda dagaa na maharage/karanga
mkuu leo umenifurahisha sana na hilo jibu.wabheja sana ng'wanangwaWanaume wa mikoani hapo tutashinda na njaa tu.
Halafu sipati picha kiasi cha sukari mtu utakachoondoka nacho kwa mlo kama huu. Wanaume wa Dar na Msata mna shida!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] point muhimu hapo ni msata [emoji3]Wanaume wa mikoani hapo tutashinda na njaa tu.
Halafu sipati picha kiasi cha sukari mtu utakachoondoka nacho kwa mlo kama huu. Wanaume wa Dar na Msata mna shida!
Kuna siku nitakutembelea mkuu. Kuna vitu huwa natamani sana kuviona laivu ndiyo niamini. Ntakutonya ili ujiandae kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] point muhimu hapo ni msata [emoji3]
Halafu bila hata ya kusema nilikua najua tu mshana una kitambi,halafu tatizo la unene na kitambi linasababishwa na ratio ya chakula kiasi cha chakula mtu anachokula na kiasi cha maji mtu anayokunywa.Ningekua na mda pamoja na vitendea kazi ningefanya utafiti katika hili swala,ila kwabahati mbaya sina halafu akili yangu kwasasa inazidi kua hacked na mawazo ya cement na matofali maana nyumba za kupanga ni shidaa.Kumbe ndio maana nina kitambi