Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Video assistant refereeHii V.A.R. ni kitu gani mbona sielewi wadau..?
Video assistant refereeHii V.A.R. ni kitu gani mbona sielewi wadau..?
Picha kama hii ukiituma kwa wife anaweza kuuua

Hahaha..mwaka wa fedha!!Dadadeq huu ndio uzi bora mwaka wa fedha 2017/18![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ndo VAR kali zaidi kwenye huu uzi..
Mkuu hii V.A.R mwamuzi nahisi alirudi mara mbili mbili kuhakiki.