Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,637
- 2,747
Itafika mura,ilala ni Gigi sasa😇😇kwetu cable haija fika
Itafika mura,ilala ni Gigi sasa😇😇kwetu cable haija fika
inshallah. subira ya vuta heri na si fegi.Itafika mura,ilala ni Gigi sasa😇😇
wanasiasa si watu wa kuwaamnini kabisa. utashangaa tutakamuliwa kama kawaidaNgoja waziri wako dr ndugulile kesho anaongea na wamiliki wa mitandao juu ya vifurushi
Sent using Jamii Forums mobile app
inshallah heriinshallah. subira ya vuta heri na si fegi.
muda bado02:30 over
Unaona sasa mm na ww ndio tumebaki makamanda ehehemuda bado
Night packs??Watumiaji wa night packs
acha tulinde . nafikira kuwasha toyo niende mjini nikatafute vochaUnaona sasa mm na ww ndio tumebaki makamanda ehehe
mtandao gani unatumiaWatumiaji wa night packs
Mbona unashangaa!Night packs??
We mura unataka kukimbia rindo,muraa nchangotemeacha tulinde . nafikira kuwasha toyo niende mjini nikatafute vocha
Natumia internet cable ya zuku mkuumtandao gani unatumia
hapana. natumia free basics . nataka nishushe serieas. nimesahu ku top up Mpesa yangu kwa ajili ya vochaWe mura unataka kukimbia rindo,muraa nchangoteme
Pole mura,nitakuhesabu kwenye roll callhapana. natumia free basics . nataka nishushe serieas. nimesahu ku top up Mpesa yangu kwa ajili ya vocha
Me situmiagi ivo vitumtandao gani unatumia
tatizo network yao inasumbua nilipoMe situmiagi ivo vitu
Ila TTCL naona huwa wana vifurushi vzr vya usk
ubarikiwePole mura,nitakuhesabu kwenye roll call